KUMPIGA MWANANMKE, KUMKABA NA KUMBANA PUMZI WAKATI WA TENDO LA NDOA NI UNYANYASAJI : Wanaharakati wametoa onyo kwa wanaume waliohalalisha tabia hizi kwa wenzi wao. Soma hapa >> https://t.co/NMJXx8RbQ8
Mfahamu, Harnam Kore, msichana anaejivunia kuwa na uso uliosheheni ndevu Hali ambayo huenda ingempa changamoto ya kutafsiriwa tofauti na jamii inayomzunguka. Soma zaidi hapa https://t.co/NMJXx8RbQ8
Mwizi avunja nyumba na kuingia ndani, amekamatwa akimuogesha mtoto wa mwenye nyumba kabla ya kutekeleza nia yake. soma zaidi hapa https://t.co/NMJXx8RbQ8
WANASAYANSI wa Uingereza na Marekani waungana kuchunguza undani zaidi kuhusu ugonjwa wa Saratani, wanalengo la kuufahamu na kuutibu kabla haujakomaa. https://t.co/NMJXx8RbQ8
Vikosi vya kijeshi vilivyo Chini ya Serikali ya Syria vimeingia katika mji wa kimkakati wa Kobani, kuziba njia moja ambayo Uturuki iliazimia kuitumia kuweka ukanda salama, wakati hatua ya Trump kuondoa wanajeshi Syria ikileta mgongano Marekani. https://t.co/NMJXx8RbQ8
Putin , amemualika Rais wa Uturuki Recep Erdogan kufanya ziara Nchini Urusi, ambapo inaelezwa kuwa mualiko huo uliotolewa kwa njia ya simu na Rais Putin umekubaliwa na Erdogan atakwenda nchini Urusi katika siku za hivi karibuni kwa ziara ya kikazi. https://t.co/NMJXx8RbQ8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewaasa Watanzania kuwa wamoja na ametaja sababu za kutumia usafiri wa Magari katika Ziara yake Mkoani Lindi. https://t.co/Irx8vI2NIO
Familia ya watu sita ambao walikaa chini ya ardhi kwa muda wa takribani miaka tisa shambani wakisubiri kile walichodai kuwa ni mwisho wa Dunia imegunduliwa na Jeshi la polisi Nchini Uholanzi baada ya mmoja wao kujitokeza kwenda kununua mvinyo. https://t.co/NMJXx8RbQ8