Ama kweli Mombasa ni zaidi ya hoja huyu apo ni balozi wa marekani humu nchini Bi Susan M. Burns ambaye amesisitiza Jukumu kubwa la wanahabari wa vituo hivi vilivyoko Karibu nwa wanajamii. Kikubwa Bi Susan amewapongeza wanahabari Hawa kwa umoja unaoonekana na kazi zao
@agj_kenya
Siku ya tatu kwenye kongamano la wanahabari mjini Mombasa, elimu ya bima ya wanahabari, usalama wa kimtandao pamoja na maswala ya kushughulikia na kumaliza bahasha la udhurungi kwenye vyombo vya habari.
@agj_kenya@SafaricomPLC@ViennaErick
Siku ya tatu kwenye kongamano la wanahabari mjini Mombasa, elimu ya bima ya wanahabari, usalama wa kimtandao pamoja na maswala ya kushughulikia na kumaliza bahasha la udhurungi kwenye vyombo vya habari.
@agj_kenya@SafaricomPLC@ViennaErick
38 million people still lack access to improved toilets.
Alex Njagi from @SATO_Toilets_AF reminded us that access to sanitation is a right, not a privilege.
Let’s continue pushing for a future where every home has safe sanitation.
#AGJKCommunityConference2025
The Brown Envelope Syndrome in the Media Space
From the discussion the panelists emphasized the need for strong ethical grounding urging journalists to stay true to their values pursue meaningful stories and uphold integrity even in challenging environment
#AGJKConference2025
Uamuzi wa Gen z katika kufanya mageuzi ya mkondo wa kisiasa baada ya kupata umaarufu nchini kutokana na sauti zao zilizotia nakshi almshauri ya mahitaji muhimu kusahaulika kwenye mswaada wa bajeti wenye utata.
The 2nd day of the ASSOCIATION OF GRASSROOTS JOURNALIST OF KENYA media conference under the theme of VIABILITY AND SUSTAINABILITY OF COMMUNITY MEDIA IN KENYA.
Aliyekuwa waziri mkuu hapa nchini kati ya mwaka wa 2008-2013, na mbunge wa langata, kinara wa chama Cha ODM, na muungano wa azimio Raila Odinga afariki dunia akiwa nchini India kwa matibabu. Raila ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 80. Apumzike kwa Amani.
#RipOdinga
Happy mazingira day. Tujukumike sote kupanda Miche katika kila juhudi za kutunza mazingira. Je umepanda Miche Leo ?
#happymazingira#mazingirayetuuhaiwetu
Happy mazingira day. Tujukumike sote kupanda Miche katika kila juhudi za kutunza mazingira. Je umepanda Miche Leo ?
#happymazingira#mazingirayetuuhaiwetu
HABARI:
Kanisa limefanikiwa kupata Baba Mtakatifu mpya kwa jina Papa Leo wa Kumi na nne (Pope Leo XIV)
Papa Leo ni papa wa Mia mbili sitini na saba(267) katika Kanisa .
Jina lake rasmi ni Kadinali Robert Prevost kutoka Taifa la Marekani .
Kongole