Home
Language
English
TΓΌrkΓ§e
Bahasa Indonesia
About
Privacy Policy
Terms of Service
Pricing
Sign In
Download All
Share
RMadodi
@RahidiniM
Author || CDO|| @SimbaSCTanzania & @ChelseaFC Fan
Joined September 2024
92
Following
37
Followers
305
Posts
RMadodi
@RahidiniM
12 days ago
Wakati mwingine Nidhamu inaweza ikatafsirika kama uoga, Na kinyume chake.
RMadodi
@RahidiniM
12 days ago
Usihangaike kuzuia wanaosambaza habari zako, Jitahidi habari zako zisiwafikie wasambazaji.
RMadodi
@RahidiniM
12 days ago
Wakati wa anguko lako jitahidi sana kutunza vizuri kumbukumbu za tabia za watu ili utakapo inuka tena usichanganye binadamu na wanyama.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
12 days ago
Kamwe Usikubali kuombwa msamaha Private kama alikukosea mbele za watu.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
about 2 months ago
Usirudi sehemu ile ile ambayo ilipoteza Tabasamu lako.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
about 2 months ago
Epuka watu wanaokua karibu na watu ambao hawakupendi. Hao ni watu hatari.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
about 2 months ago
Katika Maisha unaweza kuwa mzungumzaji mzuri ikiwa utajifunza mambo matatu 1. Kutoa Hoja 2. Kukosoa Hoja 3. Kujibu Hoja Kuongea sana kwa sauti kubwa vitu visivyo vya msingi ili utawale maongezi, haikufanyi uwe mzungumzaji mzuri.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
about 2 months ago
Mwanaume kamwe hawezi kusahau siku aliyokua 1. PEKE YAKE, 2. ALIYOSALITIWA, 3. ALIYOPUUZWA na 4. ALIYOKOSEWA HESHIMA.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
2 months ago
Success: 1. 80% Action 2. 20% Planning
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Kama ni wanaongea vizuri na wewe lakini wanafokea Wahudumu, Hao sio watu wazuri.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Katika Maisha watu huwa wana mambo mazuri ya kusimulia kuhusu wewe, Lakini mpaka Ufe kwanza. ππ€
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Watu wanapenda pesa zako sio wewe. π€
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Watu huwa hawakuheshimu, Wanaheshimu kile unachoweza kufanya kwajili yao.
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Maisha halisi ya ubinadamu wa watu wa leo, Kila kitu ni Content π€π
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Uaminifu ni Mchezo Hatari Sana
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Maisha ya Private Hospital π€
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Kama ungejua jinsi waliokufa wanavyosahaulika haraka, Usingeishi kwa kuwafurahisha watu.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Sio kwasababu mtu mwingine ameubeba vizuri na kwa urahisi, Haina maana kwamba sio Mzito.
#Madodi
βπΌ
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Usiamini kila Tabasamu, Watu wengine huonyesha meno yao kabla ya Kung'ata.
RMadodi
@RahidiniM
3 months ago
Acha kujibadilisha ili upate sifa za kuingia katika ofisi ambayo hautakiwi kuingia.
#Madodi
βπΌ
Last Seen Users on Sotwe
Gamze BandΔ±rma π
Seen from
Belgium
Ψ§ΨΩ Ψ― Ψ§ΩΨΉΨͺΩΨ¨Ω
Seen from
United States
The Beans!! (2/6 | COMMS OPEN!)
Seen from
Australia
Gizem demir
Seen from
Turkey
Iqbal awan
Seen from
Germany
Ye!
Seen from
Turkey
π Francis Brown π
Seen from
Malaysia
Rogue π
Seen from
United States
Ψ§Ω ΩΨ§Ψ¬Ψ±
Seen from
Netherlands
S
Trends for you
1
Brewers
Under 10K tweets
2
Good Thursday
Under 10K tweets
3
Ueck
Under 10K tweets
4
Clippers
Under 10K tweets
5
Cubs
Under 10K tweets
6
#ThisIsMyCrew
Under 10K tweets
7
Red Baron
Under 10K tweets
8
#AEWDynamite
Under 10K tweets
9
Haley Stevens
Under 10K tweets
10
Gary Sanchez
Under 10K tweets
Most Popular Users
1
Elon Musk
@elonmusk
241.5M followers
2
Barack Obama
@barackobama
118.8M followers
3
Cristiano Ronaldo
@cristiano
114.5M followers
4
Donald J. Trump
@realdonaldtrump
111.9M followers
5
Narendra Modi
@narendramodi
107.1M followers
6
Rihanna
@rihanna
98.7M followers
7
NASA
@nasa
92.3M followers
8
Justin Bieber
@justinbieber
91.8M followers
9
KATY PERRY
@katyperry
90M followers
10
Taylor Swift
@taylorswift13
84M followers
11
Lady Gaga
@ladygaga
75.5M followers
12
Virat Kohli
@imvkohli
73.5M followers
13
Kim Kardashian
@kimkardashian
70.9M followers
14
YouTube
@youtube
68.8M followers
15
Neymar Jr
@neymarjr
66.5M followers
16
Bill Gates
@billgates
65.2M followers
17
Selena Gomez
@selenagomez
63.1M followers
18
The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers
19
CNN
@cnn
61.7M followers
20
X
@x
60.7M followers
Olivia
Online
β¨
β
π«