| Creative & Visionary | Marketing Expert |
My purpose in this world ๐ is to live the life were i was dreaming in my third eye ๐๐ง ๐ #LifeIsBetting
Hustle ya mtaani haijawahi kuwa rahisi.
Lakini pia haijawahi kuwa bure.
Ni kupitia hizo changamoto unajenga skills, connections, na resilience.
Usijione mjinga kwa sababu unafanya kazi ambayo sio dream yako.
Unajenga muscle ya kupambana, yenye thamani kuliko vyeti.
Kumsamehe mtu ali/anayekucheat kwa mara moja sio suala geni mana mapenzi yana nguvu sana hasa ukipenda ila kuchukulia cheating ni kitu cha kawaida kwako kisa inaaminika siku hizi kila mtu anacheat hayo ni matatizo ya akili. Cheating ni level ya juu ya usaliti kwenye mahusiano.
@raphyrodrick Nyie mnasema tu, hakuna mwanaume timamu anaweza telekeza mtto. Shida yao ni kiburi na jeuri.
Acha tu nisiseme hapa ila kuna hal tunapitiaga wanaume sema dunia ishatuona wanaume ni kundi la kujipambania. Kuna wanawake wengine ni waharibifu wa kisaikolijia kabisa. Never trust them
Wakiona tu umeanza kujipata, ghafla wanakushauri utafute binti uoe โ nia yao ufilisike kisha wakucheke
NDOA ni unafiki; hakuna jambo lolote la kheri linaloletwa na Pete๐, shela๐ฐ, keki๐, maua๐ na viapo vya mchongo๐
Janja SHTUKA๐ซต๐ฝ๐ซต๐ฝ
7 Odds โ
Table Tennis ๐
PARIPESA Booking Code ๐ 9R2UK
1. Michal Regner vs. Jiri Louda
Total Sets 4.5 Under
Odds: 1.34
2. Martin Huk vs. Rostislav Klyuchuk
Total Sets 4.5 Under
Odds: 1.37
3. Dmitry Parkhomenko vs. Jan Steffan
Total Sets 4.5 Under
Odds: 1.36
4. Tomas Barta vs. Daniel Tuma
Total Sets 4.5 Under
Odds: 1.34
5. Maksim Baranov vs. Oleksandr Gaynovsky
Total Sets 4.5 Under
Odds: 1.39
6. Oleg Ponomarenko vs. Oleg Pereguda
Total Sets 4.5 Under
Odds: 1.39
Register PARIPESA by using promo code to get a firs depost bonus ๐ฐ
๐ฒ https://t.co/7HEkEdjMcf
Use my promo code๐GWISA
WE BACK AGAIN ๐๐ฝ๐๐
๐๐ผ๐ป๐ด๐ฟ๐ฎ๐๐๐น๐ฎ๐๐ถ๐ผ๐ป๐๐๐
โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ โ
BOOOOOM๐๐ถ๏ธโ โ โ โ โ ๐๐
My 100 people who always Retweets on my posts, this Giveaway is for you๐๐ฝ
I really love you.๐ฅฐ
You keep me motivated.โ
Drop your aza asap
Forget about Roma to score a goal
Focus on My daily GIVEAWAYS
My 100 people who always Retweets on my posts, this Giveaway is for you๐๐ฝ
I really love you.๐ฅฐ
You keep me motivated.โ
Drop your aza asap
Wanawake wakitaka hela, wanaweza kutumia mapenzi kuzipata.
Wanaume wakitaka hela, lazima watumia mishe/kazi kuzipata.
Kwahiyo wanaume pekee ndio tunapoteza hela kwa ajili ya mapenzi.
Hii maana yake mahusiano mengi yanayodumu, mwanaume ana play part kubwa.
kuna muda maumivu inabidi uyaweke sehemu ya maisha yako ili yanapokupata usifadhaike sana na usipende kujiona kua wewe hupaswi kua katika maumivu daima jua maumivu yapo kwaajili ya mwanadamu kama mti pia hupitia maumivu ambapo haujawahi hata kumkosea Mungu vipi kuhusu mwanadamu.
Kuna signs ukidate nazo we tegemea tu kukagua simu yako:
Gemini, Cancer, Aries, Sagittarius and Libra.
Scorpion, Leo na Pisces hawatokagua ila watajua tu kinachoendelea, ikiwezekana hata kuota ndotoni wataonyeshwa.
Capricorn, Aquarius, Taurus na Virgo hawa wapowapo tu๐
KWANINI NI NGUMU KUTOKA NJE YA MATRIX COMPLETELY?
Ni kwasababu baadhi ya mifumo iliyopo ndani ya matrix ni inarun dunia ya sasa, ni either hutaki au unataka.
Pesa, Kodi, Siasa, Elimu, Dini, Technology etc. Unaweza usiendeshwe na hivo vitu ila maisha yakakutaka uviitaji...๐