๐๐๏ธ Mobile Intelligence Expert | Kariakooโs Phone Solution ๐ฆ General Rule: EVERYBODY IS LYING. I provide the TRUTH. ๐ก๏ธ ๐ Kariakoo, Aggrey St, DSM ๐
Nilipost Reddit kuhusu kitu Gani kizuri na ambacho sio kizuri kuhusu pixel 10 pro users wengi wamezingumzia madhaifu ya hii simu
โ Battery drain
โ Inapata sana jotoo(overheating)
โ AI features nyingi ziko limiter Kwa USA
โ Device Ina charge slow sana
โ Simu nzito sana ๐
Nilichelewa sana kufahamu hii ya kuunganisha Sound Bar na HDMI, Napata mziki mtamu mpaka rahaa..
Optical wire na Bloototh sio za kuconect na Sound Bar aisee.
Mimi mara nyingi nikisha update tena ikiwa ni major update nikinaliza nafanya factory reset simu then na transfer again my data... hii hunisaidia kupunguza bugs .. cause most of bugs zinasababishwa na gabbage ambayo ilikuwa collected at the time unatumia sim
Multitasking... ila hii utaona zaid utamu wake ukiwa na device yoyote ya android isipokuwa Pixel
More connectivity especially (IoT) internet of things...
Most of them Great battery life...
Kwenye Fold sijaona bugs naona iko well optimized and smooth .... Mara nyingi hizi updates kwenye S series zile major ndo zinatake effect kubwa kuliko minor...
Samsung wamezingua sana Kwa hii oneui 8.5 update ndio maan chap wametoa oneui 9 oyaa hii update ya 8.5 Ina bugs nyingi na animations zake Kuna mda inakua smooth Kuna mda Ina jam vibaya mnoo ๐
Nikiulizwa ni brands zipi zina simu zenye great AI experience, top 2 yangu ni ๐
โ Google (Pixel)
โ Samsung
Ukitaka kuenjoy AI features ambazo ni useful na well integrated, chagua flagship kutoka kwenye hizi brands ๐ฅ