DEMOKRASIA YA UCHAGUZI SIYO ZOEZI LA KIHALIFU AU KIVITA NI ZOEZI LA HIYARI LINALOSIMAMIWA NA KATIBA,SHERIA NA KANUNI.
Anayesema tuboreshe Katiba , sheria au kanuni kabla ya kushiriki uchaguzi analitakia mema Taifa na anajali uhai na usalama wa Raia.
Faida kubwa ni kwamba msimamo huu wenye uadilifu unaojengwa juu ya misingi ya utawala wa sheria, uwajibikaji, na usawa wa kisiasa.
Unalenga mabadiliko ya mfumo ili uchaguzi uwe huru, haki na wa kuaminika, kama inavyoelekezwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 21(1):
“Kila raia wa Jamhuri ya Muungano anayo haki ya kushiriki katika shughuli za utawala wa nchi, aidha moja kwa moja au kupitia kwa wawakilishi wake waliochaguliwa kwa mujibu wa Katiba.”
Unalenga zaidi kuondoa mazingira kandamizi kama vile tume ya uchaguzi isiyo huru, matumizi ya vyombo vya dola, au sheria kandamizi kama Sheria ya Vyama vya Siasa au Sheria ya Huduma ya Habari ,utaratibu wa Mawakala na haki zao,haki zavyama kuwa na Mawakala ,haki zavyama kushiriki uchaguzi,udhibiti wa rushwa za uchaguzi,haki za kupata nakala za Matokeo au utatuzi wa Migogoro ndani ya kituo cha kupigia kura,Haki ya Magokeo kutangazwa katika kila kituo nk
Huu ni mwelekeo wa kidemokrasia wa amani, unaotafuta mabadiliko ya kudumu kwa njia ya majadiliano na sheria.
Anayesema tuingie tu uchaguzi, tutalinda kura kwa Majabali, Marungu na Mapanga
Msimamo huu ni wa kilaghai na wanao sema hawaweki wazi mawanda ya Ulinzi huo na nyenzo za walinzi wala hawaja ainisha mkakati wa Ulinzi wao.Malengo ya namna hii ni hatari kwani huliweka taifa katika hatari ya vurugu, uvunjifu wa amani na hata umwagaji damu.
Unapingana moja kwa moja na Ibara ya 3(1) ya Katiba inayosema:
"Jamhuri ya Muungano ni nchi ya kidemokrasia na ya kijamaa inayozingatia haki na usawa.”
Matamshi kama haya yanavunja misingi ya amani, Uwajibikaji na utawala wa sheria.
Yanatoa fursa kwa vyombo vya dola kutumia kisingizio cha "kulinda usalama" kukandamiza haki za watu hususan. wananchi.
Tukumbuke kuwa Demokrasia ya kweli haijengwi kwa vitisho na vurugu, bali kwa mabadiliko ya Katiba, sheria na Kanuni ili kujenga taasisi imara, na kulinda haki za raia wote kwa mujibu wa Katiba.
Yule anayehamasisha mageuzi ya sheria na kanuni ili kuwezesha uchaguzi huru, ndiye anayejenga Taifa bora na salama kwa vizazi vijavyo.
TUSIWATUMIE WATANGANYIKA KAMA MBUZI WA KAFARA KATIKA KUFIKIA MATAMANIO BINAFSI YA KISIASA.
Tanzania is officially a police state.
Hawa ni polisi wanazuia watu kuabudu kwasababu Askofu wao amekemea utekaji.
Kwamba Gwajima angepongeza watekaji leo kanisa lake lisingefungwa.
Nawakumbusha 👇🏾
Wame-panic 😄 kwa hiyo kazi yetu ni simple - keep calm na tuendelee na
#NoReformsNoElection
Mbona tushaanza kuelewana? 😂
Sasa wanataka kujua how? Wakati tukiwauliza mtalindaje kura wanasema ni siri 🤣
👊🏽 ka-boom 💥
#NoReformsNoElection is the only logical choice
Ndugai alilazimishwa kujiuzulu sababu ya kukosoa mikopo bila maarifa.
Haikuwa ridhaa yake kujiuzulu.
Tulia kwa viwango vyote ni mtumishi wa Samia.
Zitto anataka tuamini akiwa bungeni, yeye na wenzake wawili, wataleta tofauti.
Tuheshimiane.
We need reforms.
Some current context on the Christian persecution in #Tanzania
After the govt ILLEGALLY closed the Glory of Christ Church, some of the believers went to pray at the East African Lutheran church known in Kiswahili as Kanisa la Kilutheri la Africa Mashariki (KKAM)
This is where now the police have shifted their presence and last week assaulted and detained Christians!
This is all by the orders of @SuluhuSamia who yesterday put on a show in another church to try and pretend she is not persecuting Christians yet in that Church yesterday she sent a Muslim clergy leader to call for the beheading of @TunduALissu
She cannot hide her cruel and vicious nature clearly!
MADHABAHUNI SIO MAHALI PA KUMDHIHAKI MTU ALIYEOKOLEWA KWA NGUVU ZA MUNGU
Walimuumiza mtu na kumfanya kilema baada ya kushindwa kumuua. Wakamkamata tena na kumtia ndani kwa tuhuma nzito huku wakijua kabisa kuwa wanamsingizia uwongo. Na huko ndani walitoa maelekezo ili ananyanyaswe na watu wao waliowatuma kutimiza kusudi hilo.
Kama hiyo haitoshi, wanatumia washirika wao kumsema katika madhabahu inayotaja jina la Mungu na kumsengenya mtu ambaye wanajua kuwa hawezi kuwajibu wala hawezi kujitetea. Lakini wamesahau kuwa huyo Mungu ambaye wanatumia jina lake kusema mtu asiyekuwa na hatia ndiye aliyemuokoa kutoka makucha yao na makucha ya washirika wao!
Mungu anamyelinda Lissu hasinzii wala halali usingizi (Zaburi 121). Mungu atasambaratisha mhimili wa waovu (the axis of evils), ushirika wa waovu (the alliance of evils) na fungamano la waovu (coalition of evils)! Shoka liko shinani!
Je, nini kimekushangaza? Je, nini maoni yako?
Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
Itunge, Dar es Salaam; 5 Julai 2025; saa 10:20 jioni
Afande Jumanne Muliro soma ibara ya 19(1)-(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na utajua kuwa wewe na Serikali yako ndio wavunjaji wa Katiba kwa kuingilia haki na uhuru wa kuabudu na katazo la Serikali kutoingilia haki hiyo.
🚨‼️ CHRISTIAN COUNCIL OF TANZANIA STRONGLY CONDEMNS ABDUCTIONS IN #Tanzania ‼️🚨
Bishop Stanley Hotay chair of CCT read joint statement 🔥👊🏽
We really appreciate the solidarity
"Tunalaani vitendo vya watu kutekwa na kupotezwa"-; Askofu Stanley Hotay,
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT)
Asanteni viongozi wa kikristo 🙏🏽
Imetosha! Utekaji sasa basi! #EndAbductionsTz
Amsterdam & Partners LLP Calls for Suspension of Aid to the Tanzanian Government Following Poisoning Attempts Against Opposition Leader Tundu Lissu https://t.co/DMhygTSuts