@MariaSTsehai Huyu Sugu na Lema nao washamba wanapenda kukipa chama wakat mgumu kwani wanashindwa kutoa hutuba bila kuongea upuuzi wa kutoa matusi yasiyo natija na kuleta taharuki na kumpa nafasi msajili sababu zisizo na msingi wowote.
Pumbavu kabisa huyu Sugu