@IAMartin_ Dah INAUMA sana Ebu fikiria asubuh unywe uji tu harafu unaenda kushinda mahakaman unarud gerezan unakuta wameshakula unalala siku hiyo kesho yake tena mwendo ni huohuo kwa muda wa miezi 5 dah!!!Harafu wala ujawai kuwaza kuwa gaidi unabambikiwa tu
Jaji: kwa hiyo kwa Upande wa Jamhuri Ushahidi unaounga mkono Jambo hili, kuwa muda uliotumika kumtafuta Moses Lijenje na muda uliotumika kumsafirisha Kuja Dar es Salaam Adam Kasekwa unapaswa kuzingatiwa kuondolewa katika masaa manne