Ask me anything.
Ndugu zangu naomba ubonyeze link hapo chini andika chochote uliza au toa ushuhuda nitaufikisha kama ulivyo kwa wale ambao wanatuma anonymous zao lakini wana hawazipandishi mimi nitapandisha.
https://t.co/ISqQ3pJf8D
@DanyeMufasa Women are good manipulator.. learn how to manipulate them too.
Wanawake wanasoma jinsi ulivyo tokea awali, watakujaribu msimamo wako, utoaji wako nk
Siku zote hakikisha Mfumo Dume unafanya kazi kwenye maisha yako kama mwanaume. Kuwa na uwezo wa kuingia na kutoka.
@EsirEid Kuhusu hili wanaume tumemuelewa na msamaha umetoka makao makuu moja kwa moja na muhuli wa confidential.
Kwa hatua zaidi kikao kijacho millennial wote watapelekwa training kujifunza matumizi sahihi ya teknolojia ili kuondoa Adha ya kimtandao ๐
@YourBoiShu_ Go check her CV please if the stated marital status is single or not. Do not complicate issues as long as you are not married then youโre Single. Eat your own consequences ๐
@EsirEid Tajiri hapa umepuyanga, nilitaka nishangae toka lini wahaya wakaisha ushamba ๐. Tissue zinatumika kukaushia maji na pia kutandika kwenye vyoo vya kukalia kwa mtu ambaye hataki kukaa kwenye plastic anaweza kutandika ndo akae. Sasa mwenzetu ukiona mtu amebeba tissue hatumii maji?
@JohnsonNanak@EsirEid Tajiri hapa umepuyanga, nilitaka nishangae toka lini wahaya wakaisha ushamba ๐. Tissue zinatumika kukaushia maji na pia kutandika kwenye vyoo vya kukalia kwa mtu ambaye hataki kukaa kwenye plastic anaweza kutandika ndo akae. Sasa mwenzetu ukiona mtu amebeba tissue hatumii maji?
@DanyMsigwa@EsirEid Tajiri hapa umepuyanga, nilitaka nishangae toka lini wahaya wakaisha ushamba ๐. Tissue zinatumika kukaushia maji na pia kutandika kwenye vyoo vya kukalia kwa mtu ambaye hataki kukaa kwenye plastic anaweza kutandika ndo akae. Sasa mwenzetu ukiona mtu amebeba tissue hatumii maji?
@bilohimself@Rydx_017@athanas_pius@babalao__@Balyx_@DullahTheking2@MissChelsea1221 Sio kwamba maneno haya yanatumika kulingana na muktadha wa Taifa? U.S na UK kingereza ndo kinayatofautisha ila kimsingi anaweza kusoma College na bado akapata degree. Cha kuzingatia anakuwa regulated na nani kati ya TCU na NACTVET. Mfano UDSM na DIT na CBE.
@Swahiliurbangfx @Sativa255 Soma level kulingana na sifa ulizonazoโฆ kama una form 6 soma degree kama una form four soma diploma. Kama matokeo si mazuri sana ya form four ila hesabu ulipass soma certificate. Muhimu uwe na taaluma itakufaa siku Moja.