Consistency ya Maombi yao kwetu baraka zinawafikia mpaka wao.
Mama SATIVA na Mama Taivina mtakutana nao Road huko msisite kuwapa msaada wakikwama barabarani.🙏
Baada ya maseke yote yaliyotokea na yanayoendelea kutokea mpaka sasa, Waziri wa Ulinzi wa Mexico, Ricardo Trevilla amethibitisha kwamba,
Mpaka sasa wamezikamata silaha 23,000 kutoka kwenye genge la El Mencho. Cha ajabu asilimia 80 ya silaha hizo zimetoka pale
Fungua threads 🧵👇
#TajiriLaKihaya
Serikali ya Mexico imemuua mtu aliyekuwa na zawadi ya dola milioni 15 kichwani mwake, na genge lake likachoma majimbo 5 ndani ya muda mfupi tu!
CV YA El Mencho;
•Jina halisi: Nemesio Oseguera Cervantes
•Alizaliwa 17 Julai 1966, Aguililla, Michoacán, Mexico
•Alikulia katika umaskini
•Aliingia Marekani kinyume cha sheria akiwa kijana
•Aliishi San Francisco
•Alikamatwa akiwa na miaka 19 kwa kosa la mali ya wizi na kubeba bunduki yenye risasi
•Alifukuzwa kurudishwa Mexico
•Alirudi tena Marekani
•Alikamatwa tena mwaka 1992 kwa mashtaka ya dawa za kulevya
•Alikiri kosa
•Alitumikia miaka 3 katika gereza la shirikisho la Marekani
•Alifukuzwa tena kurudishwa Mexico
•Alijiunga na polisi wa eneo lake
•Pia akawa mkulima wa parachichi kwa upande mwingine
•Kisha akaingia katika Karteli ya Milenio
•Alifanya kazi chini ya kiongozi wa dawa za kulevya Ignacio Coronel Villarreal (Nacho Coronel)
•Coronel aliuawa mwaka 2010
•El Mencho akaona fursa
•Akashiriki kuanzisha Jalisco New Generation Cartel (CJNG) kati ya 2007–2009
•Mwanzoni walifanya kazi chini ya Sinaloa Cartel
•Kisha wakajitenga na kuanza vita dhidi yao
•Akaijenga CJNG kuwa karteli inayokua kwa kasi zaidi Mexico
•Drug Enforcement Administration (DEA) ilisema wana nguvu sawa na Sinaloa Cartel
•Wapo katika majimbo yote 50 ya Marekani
•Wanasafirisha fentanyl, meth, cocaine na heroin
•Wakipata mabilioni ya dola
•Wakaanzisha matumizi ya droni kurusha vilipuzi
•Wakapanda mabomu ya ardhini
•Wakapiga helikopta za kijeshi
•Mwaka 2020, karteli yake ilijaribu kumuua mkuu wa polisi wa Mexico City kwa maguruneti na bunduki mchana kweupe
•Zawadi ya dola milioni 15 ya Marekani ilitangazwa kwa kukamatwa kwake
•Kwa miaka kadhaa hakukuwa na picha zake za karibuni
•Alijijengea taswira ya siri na fumbo
•Hakuna aliyemwona wala kumkamata
•Ndugu yake “Tony Montana” alikamatwa mwaka 2022
•Mkwe wake alighushi kifo chake ili kujificha California
•El Mencho alisaidia kuficha hilo
•Utawala wa Donald Trump ulitangaza CJNG kuwa shirika la kigaidi la kigeni Februari 2026
22 Februari 2026
•Jeshi la Mexico lilimpata Tapalpa, Jalisco
•Mapigano yakazuka
•Wanachama 7 wa CJNG wakauawa
•3 wakajeruhiwa
•El Mencho alikuwa miongoni mwa waliojeruhiwa
•Alikamatwa akiwa hai lakini akafariki wakati wa kusafirishwa kwa helikopta kwenda Mexico City
•Serikali ya Mexico ikathibitisha kifo chake
•Ndani ya saa chache karteli yake ikajibu
•Magari yakachomwa kwenye barabara kuu kote Jalisco
•Vizuwizi vya barabarani Nayarit, Guanajuato, Michoacán na Tamaulipas
•Uwanja wa ndege wa Puerto Vallarta ukajaa moshi
•Watu wakikimbia kwa hofu ndani ya jengo la abiria
•Mabasi yakachomwa moto
•Maduka makubwa yakashambuliwa
•United States Department of State ikatoa onyo kwa raia wa Marekani kubaki mahali salama katika majimbo 5 ya Mexico
Alitoka kuwa kijana maskini wa Michoacán, akawa polisi, mkulima wa parachichi, kisha kiongozi wa karteli hatari zaidi duniani.
Alikufa nyuma ya helikopta ya kijeshi saa mbili tu kutoka mji alikojenga himaya yake.
Mtu amekufa lakini mtandao alioujenga bado unaendelea kufanya kazi.
Odds : 11
☑️1. Real Madrid- Win or Draw
☑️2. Galatasaray - Win
☑️3. PSV - Win or Draw
☑️4. Inter - Win
☑️5. Liverpool | Man city - Over 1.5
☑️6. Feyenoord - Over 0.5
☑️7. RB Leipzig - Over 0.5
☑️8. Bayern Munich - Win or lose
☑️9. AEK Anthens - Win
☑️10. Sparta Prague - Over 0.5
☑️11. Twente Women - Win
☑️12. PSG | Marseille - Over 2
☑️13. Benfica - Win
Code ~ BB8S9
Site:: LINEBET
Register now : https://t.co/p0phd2fF59
Use my promo code 👉KIRI
Register by using promo code to get huge bonuses
Turn off VPN🏦
Total odds : 13.8🥷🏾
1. Man city
🏦Over 0.5
2. Galatasaray
🏦Win
3. Intermilano
🏦Win
4. Bayern Munich
🏦Win or lose
5. PSV
🏦Win or lose
6. Real Madrid
🏦Win either half
7. AEK Anthens
🏦Win
8. PSG
🏦Win or lose
9. Sparta Prague
🏦Over 0.5
10. Twente women
🏦Win
11. Polonia warszawa
🏦Win or Draw
12. Feyenoord
🏦Over 0.5
13. Willem II | Waalwijk
🏦Over 1.5
Site : PARIPESA
Paripesa Code: HJYK9
Register now 👉: https://t.co/7HEkEdjMcf
Use my Promo code 👉GWISA
Register by using promo code to get huge bonuses 💸
Turn off VPN and Stake High.