Lakini sijawahi ona politician lazy kama Kalonzo, fala inataka kupewa kila kitu on a silver platter.
Sahii amechill tu Akina Sifuna wanajituma , hata Matiang'i na Gachagua wenye wamekuja juzi wamemshinda already, bois Ako hapo anategea kupewa Deputy President juu yeye ni Mzee ๐