โฌค๐๐๐ซ๐ ๐๐ ๐๐จ Bennchika yuko Tanzania kwa ajili ya Mazungumzo zaidi na Club ya Simba Sc
โMpaka sasa hamna makubaliano yaliyoafikiwa huku kikao cha mwisho kikitarajiwa kufanyika siku ya leo
Via @Kiddy871
โฌค๐๐๐ซ๐ ๐ฐ๐ ๐๐จ Crispin Ngushi๐น๐ฟ ataondoka Yanga sc kwa uhamisho wa bure mwishoni ๐ฐ
โNgushi amekataa ofa ya pendekezo la mkataba mpya lakini anahisi ni wakati wa kutafuta changamoto mpya, anataka muda zaidi wa kucheza
Chanzo @Kiddy871
VIWANJA || Ayresome Park
Ayresome ndani ya mji wa Middlesbrough North Yorkshire nchini England, 1903 ni miaka 120 sasa, nyumbani mwa Middlesbrough FC kwa miaka 92.
๐๏ธ๐๐พ
Cyprian Kachwele To Vancouver whitecaps Here we Go โ๏ธ
Mshambuliaji Kinda Cyprian Kachwele Amejiunga Rasmi na Klabu ya Vancouver whitecaps ya Canada akitokea Azam academy๐น๐ฟ
kuna Uwezekano Cyprian akaanzia Team ya vijana ( @wfc2 ) ambayo pia yupo Amanda mwenye asili ya Tanzania
Baada ya Kupoteza Ubingwa kwa tofauti ya goal 1 sasa Next Focus ni UEFA Champions league women ๐ช Leo mchezo wa kwanza hatua ya Makundi Bk Hacken๐ Vs paris fc๏ฟฝ๏ฟฝ
All the best @MasakaAisha ๐น๐ฟ
๐จ| Here We Go: Mshambuliaji wa kati wa Yanga, Hafiz Konkoni hayupo kwenye mipango ya timu hiyo baada ya dirisha lijalo la usajili kupita na tayari klabu imemjulisha.
- Kutokana na hali hiyo, mshambuliaji huyo wa kati anahusishwa na kutakiwa na Asante Kotoko na Hearts of Oak.
๐จ| UPDATE: HAFIZ KONKONI
- Yanga's central striker, Hafiz Konkoni is not in the team's plans after the next transfer window has passed and the club has already informed him.
- As a result, the central striker is linked to and wanted by Asante Kotoko and Hearts of Oak.
๐ฐWakala wa Gaucho Aziz Ki amepokea ofa kutoka klabu nyingine,Yanga wao pia wameweka mezani ofa yao ila sio kubwa kama hizo ambazo wameweka klabu nyengine. Yanga wakiongeza Aziz Ki ataendelea kuwepo Jangwani ila wasipoongeza anaweza kuondoka.
Real Madrid wanaripotiwa kutaka kumsajili beki wa Liverpool Trent Alexander-Arnold mwenye umri wa miaka 25 kwa ada ya Euro milioni 80 ifikapo dirisha kubwa , hii ni kulingana na ripoti kutoka Uhispania.