Follow @RibaNaRieng Kenya's 1st official Sheng' news channel. Kemba maUpdates za news na madrama zinahappen mtaani na Mayolo ki-real time Monday to Friday #ribanarieng#news
Waniaju kadhaa inadaiwa wamemanyuria after daro moja kucollapse chuo ya Precious Talent school mtaa ya Ngando village huko Dagoretti.
Red cross imesema watoi wenye washakuwa rescued wamepelekwa Hosi Onyatto.
Tutazidi kuwapa updates
#Ngong#PreciousTalentSchool