"Miaka yote mimi namshukuru Mungu kwa uhai anaonipa, hata kama nasemwa navuta bangi, navuta unga, nakuwa chizi, nimekonda lakini kuna ambao ni wanene na wana akili nzuri wako hospitali na vitu kama hivyo". - Chid Benz
#Chanzo:EaTv
#RealEnt
Droo ya #ChampionsLeague hatua ya mtoano imemalizika na hizi ni timu zilizopangwa kukutana ๐ช๐ฝ
Mechi gani unahisi itakuwa kali ila pia nani kampata kibonde wake? ๐ค
#UCLdraw#RealSports
#CardiB baada ya kurudi Marekani wiki chache zilizopita akitokea Afrika kwa ajili ya show yake aliweza kuweka wazi kuwa Afrika inamuziki mzuri na ni moja ya vitu alivyofurahia kipindi chote wakati yupo Afrika
#RealEnt
#Offset na #CardiB wakienjoy na wimbo wa โParte After Parteโ ya msanii #BigTril kutoka Uganda.
Hii ni kama sehemu ya kuendelea kufurahia kumbukizi ya siku ya kuzaliwa rapa #Offset Dec 14.
Bia za Afrika sio mchezo jamani!๐๐ Network ya #CardiB ilitetereka kidogo baada ya kupata bia 1 ya Nigeria kiasi ambacho ilibidi ashangae nguvu ya bia za Afrika.
Ikumbukwe #CardiB alipiga show kwenye wikend iliyopita kwenye moja ya viwanja vikubwa vya mpira nchini humo.
Inakadiliwa hadi sasa ametumia pauni 2,000 (Tsh Milioni 6) kwa ajili ya kujichora tu tattoo hizo alizoanza kujichora tangu mwaka 2017 na anampango wa kuongeza nyingine ๐๐ฝ
#RealSports
#MshabikiKindakiNdaki Vivien Bodycote (62), mwanamama mkazi wa Hinckley, Leicestershire, England ambaye anamkubali sana Jose Mourinho na kuamua kujichora tattoo 38 zenye ujumbe mbalimbali unaomuhusu kocha huyo wa #Tottenham.
Wakati madai ya mishahara kwa wachezaji yakiendelea pale Jangwani, Club ya Yanga SC imetangaza kuvunja mkataba na mchezaji Juma Balinya kutoka Uganda, mkataba huo umevunjwa kwa makubaliano ya pande zote mbili.
#RealSports
Mwenyekitiย na Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Infotech investment Group ambaye aliwahi pia kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Simu za Mkononi ya Vodacom Tanzania, Ali Mufuruki, amefariki Dunia akiwa Afrika Kusini.
#RIPNduguYetu๐๐ฝ