Kuna kitu nataka mnisaidie kuelewa, mtu akishakuwa na pesa, recording ngono kwani hukuwa mandatory? Juu sasa hizo ni nini mnapost ati kabi wa Jesus twin brother 😅😅Part 1,2 na 3 unfortunately part1 sijaona 2 na 3 nitawajenga.
The HEARTBREAKING STORY of Kevin Omwenga, mostly known as RICHHY RICH;
A 28-year-old Kenyan car dealer who by joining MONEY LAUNDRY, venturing into the shadowy world of the washwash trade, lead to his untimely DEATH.
[ Open Thread ]
🧵🧵....
Last year around June hapo nilikuwanga nafanya kazi kwa one of the clubs huko Juja na vitu zilikuwa zina fanyika huko ndani ni mimi na God tu tunajua. Shift yangu ilikuwanga inaanza 8pm till dawn and as you know watu na kukata maji ni kitu kimoja. Kulikuwa na a group of some ladies wao kazi yao ilikuwa ni ku wait mandume wako na pesa wakuje... 🧵