@GooglePlay # App Loans from Tanzania
Dear Google Owner, be notify that, there is so many illegal apps loaded into your Google play most of them are thief. They use fake advertising about loan the the outcome is to still citizens money. HOTCASH, HARAKA PESA, PESALINK..
@Mwabuk2Boniface saidia wananchi waache kudhurumiwa pesa zao. Kampuni ya Tausi MUKINDURI COMPANY Limited kwa kutumia app harakapesa,pesalink,hotcash na app nyingine 18, inakopesha watu kinyume na sheria za nchi kwa kulaghai uongo mwingi watu wavutike tunaomba mwongozo wa kisheri
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Sheria, Julie Manning. Pamoja na mengi, Bi. Manning ni mwanamke wa kwanza Tanzania kusoma Shahada ya Sheria na mwanamke wa kwanza Afrika Mashariki na Kati kuwa Jaji wa Mahakama Kuu.
Hakika, tutamkumbuka kwa heshima kubwa aliyoipatia nchi yetu, utumishi wake wenye mchango mkubwa katika kukuza sekta ya sheria na utawala bora, pamoja na unasihi wake, hasa katika kuwainua wanawake.
Ninatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na Watanzania wote kwa msiba huu. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.
Amina.
@tanpol@TCRA@BankOfTanzania @tcra_tanzania #Tausi MUKINDURI COMPANY Ltd. Hii kampuni imejipa jukumu la kukopesha kwa kutumia app za ujanja zipatazo 18 kama vile Hotcash, pesalink, harakaPesa, wanatumia njia za udhalilishaji na vitisho katika kudai, app zao wanajaza uongo
@ikulumawasliano@tcra@tanpol@GooglePlay Re: illegal business by company know as Tausi MUKINDURI COMPANY LIMITED. Via app. Pesalink, haraka pesa, zimacash,hotcash. Has been doing illegal business to engage in loan to local smE pretend they are helping while..
Sasa wafanyeje? Lengo la urusi ni kudondosha nguvu za dollars na kuingiza bricks ili uchumi wa America ukafie mbali. Irani inatumika kama njia ya kukasirisha nchi nyingine kuikaribisha wageni kuweka kwao vilipuzi.
🚨UPDATE: 🇺🇸🇷🇺🇮🇷
Maafisa wa Marekani wanasema Urusi inaipa Iran taarifa za kijasusi kuhusu maeneo ya meli za kivita na ndege za Marekani Mashariki ya Kati, na
kuisaidia Tehran kulenga vikosi vya Marekani - The Washington Post China haionekani kutoa msaada kama huo. Inaripotiwa kwamba Urusi inawapa Wairani nafasi za meli, ndege, na mifumo ya rada.
Maafisa wanasema Urusi inahusika kwa njia isiyo ya moja kwa moja katika mzozo huo.
Vita ya US/Israel v/s Iran kwetu sisi watanzania ni fursa. Ni wakati wa kuhakikisha VETA nchini wanatengeneza magari ya EV, lakini Pia kupunguza gharama za kufunga ges, na gesi yenyewe kuwa chini. Au uwezeshe wenye mitungi wakopeshwe na serikali wananchi wenye magari wakopeshwe.
Marekan baada ya kufanya tukio Baya sana kwa Kiongozi wa Iran et now anaomba mazungumzo, IRAN wamegoma yeye si kataka Vita Acha kiwake kudadeq..!!
HAKUNA KUOGOPANA HAPA.