Tunaiwekea msingi imara Taasisi yako kwasababu tumewekeza kwenye kufanya uafiti.
Tunandaa Nyaraka za Kimkakati na tumebobea katika Usajili wa NGOs & Kampuni.
Katika ulimwengu wa sasa, wazo bora pekee halitoshi. Unahitaji mfumo imara, uhalali wa kisheria, na takwimu sahihi ili kupenya sokoni.
Tunatambulisha rasmi RegSmart Agency: Daraja lako kati ya maono na urasimishaji wa kitaalamu. 💼🚀
#RegSmartAgency#Formalization#Tanzania
Haya ndio maisha tuliyochagua.
Ni mwendo wa kushinda na nyuki porini tu,
Oyaa ee Msimu wa kuvuna ukifika nitagawa asali lita moja moja kwa yeyote anayehitaji.
Asali Og kutoka Makete,
Tuna changamoto kwenye sekta ya nyuki, kwa sababu Miongozo mingi ipo kwa Kiingereza lakini pia imeandikwa kwa ajili ya maafisa ugani na wakufunzi, si mfugaji wa kawaida kabisa.
This World Cup, I'll be hate-watching England and the USA😄
England, because every tournament they trick me into believing, then remind me why I started hate-watching in the first place
USA, because how do you host football and interview a ref for 11 hours, only to deny him😭
Kuna documentary naicheki hapa, oya inatisha kinoma, inaitwa "Inside the Dark World of Assassins" oya kuna mambo magumu sana baadhi ya nchi hasa kwa madiba pale,
Nenda zako pale Youtube Chanel ya
National Geographic ukacheki.
Wakat nakusanya data za kuandikia kitabu cha ufugaji wa nyuki, nilikutana na mzee nzega pale akasema
"Fanya kitu unachokipenda kwa nguvu na akil zako zote, wekeza mda na pesa zako hapo, kisha uwe na consistency, usipo fanikiwa rudi hapa nikupe dumu 20 za asali bure kabisa"