Eti anasemaga wewe sijui nini na Nini na Nini bombokclat big cabbage kitu ambacho Mimi naona sini kweli kwamba wewe ni adui wa slogan ya "you better watch you back "
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Aliyekuwa mke wa marehemu mchekeshaji MC Pilipili Qute Mena amepost picha za kuwa mjamzito katika Ukurasa Wake wa Instagram.
#MeaMswahiliUPDATES