We must learn to live together as brothers or we perish together as fools.
Binadamu yeyote ambae hawezi kukemea vitendo vya kihuni vya watu kutekwa na kupotezwa hafai kuwa binadamu..
Eneo la Tarime watu zaidi ya 25 wametekwa na kupoteza ndani ya kipindi cha mwaka moja tu.
Anaetaka tunyamazie uhuni kama huu atafute kazi nyingi e ya kufanya.
Tunataka kujua ndugu zetu walipo.