A B C D 1 2 3 4 $ ! @ # $ Plu Camerlenghi- Revolutionary Right Reverend Kishoka "Any existence deprived of freedom is a kind of death." Gen. Michel Aoun,
Unapukuwa mamluki wa wenye kudhulumu, kufisadi na utawala dhalimu, unapokuwa ni “dhulumati”fisadi na dhalimu, unapokuwa shabiki, balozi na chawa wa dhuluma, ufisadi na udhalimu, Umauti ukikufikia wahanga wa matendo yako hupata ahueni na kufurahi! Kifo ni Kifo!
Two people in this photo have died in a helicopter crash this evening.
A sad day for deal-makers, chawas, tumbocrats and many more. Lots of political orphans
@KennedyMmari@ZMuhaji@TanzaniaSA Bwana Tajiri, mtu umezaliwa, umelelewa na kukulia kwenye mfumo wa Ujamaa wa Tanzania wenye kuchukia biashara na utajiri…huna background ya self employment skills hata innovation… umekuwa tuned kuajiriwa na Serikali au kuteuliwa… wapi na wapi? Ujasiriamali = entrepreneurship?
Hii Selekale kwa ubora wa kukwamisha gurudumu la maendeleo kwenye mfinyanzi imekubuhu…. tuipe PHd kwa kuvurunda… Leo nchi inasemekana uchukuzi umesimama… hivyo pato la leo lina mapungufu… kila “ntu” anatoa matamko yake kibongobongo! Ah pletinamba zangu wamechukua!