1. Lack of capital
2. Lack of skills
ni sababu kuu 2 zinazoua biashara nyingi mwanzoni kabisa.
Kuanza biashara bila kuelewa soko alafu hujui kusimamia fedha; na juu ya hayo mtaji ni kiduchu; utakwama.
Angalau ukiwa na uelewa sahihi, unaweza kukua hata ukiwa na mtaji mdogo
Hivi ulishawai kufany kazi sehem ambayo unajua boss hakutak😂
Au unafany kaz sehem ambayo
Hawaioni thamani yako😴
Au boss wako anakuchukia
Tupe experience mwambaa🤝
Nina maswali mengi sana, nilikutana na video mtu anasema tuache kumuomba Mungu nyumba, pesa, magari nk. Kwasababu hivyo vitu hata mwanadamu anaweza kukupa.
Na tuanze kumuomba Mungu kibali, Neema, na upendeleo
Maana hakuna mwanadamu wakukupa hivyo
@Sirjeff_D Brother mafanikio yako imekua kama funzo kwang sisem nitapit ulipopita hapan ila nataman kufik ulipo fika ikishindikan hat nus yake au robo🤝
Nakufatilia sana na najifunz vingi
Elimu ni mbegu,
Maarifa ni maji,
Uelewa ni jua,
Ndoto ni udongo,
Maono ni hewa,
Bidii ni jembe,
Utendaji ni mche,
Uzoefu ni mbolea,
Uvumilivu ni matunda,
Mafanikio ni mavuno.
-80% ya muda wako wekeza kwenye biashara & ujasiriamali
-10% ya muda wako wekeza kwenye kutengeneza network
-10% ya muda wako wekeza kwenye elimu ya darasani
Vitu vingi utakavyosoma darasani ni outdated, havina umuhimu kwa ground
@MarekaMalili Binadamu wameumbwa kusahau akitoboa tuu anaona kama wengine ambao bado meza imekua ngumu kupinduk hawana akil na hawajitumi🥲
Idiot lifestyle🤝
Hapo yupo kweny system akibonyez tuu imoo sas kazi kwetu tuliop ground😂
Brother sisi tufanye kazi bhana hawa tuwaache
Broo huku wanapost mafanikio tuu☺️
Huwezi kukuta mtu anapost akiteseka
Na sio kwamba hawatesek😂
Ukifatilia sana huku utakat tamaa
Na kujiona kama mungu amekutenga🙌🤝