@sundey_fx@Sirjeff_D Utarudi mwenyewe, ila Forex bhna. Kuna siku niliwahi kulia machozi kama mtt mdg tena kwa kugalagala chini na yowee kuu la maumivu makali ndan ya moyo, nikajiapiza kua hiyo ndio ilikua siku yang ya mwisho kujihusisha na Forex, lkn chaajab mpaka leo bado nipo nayo๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@Sirjeff_D Tatizo sio ku make $20 iyo mbona inawezekana vizuri tu, tena hata zaidi ya hiyo $20 unapata vizuri tu, tatizo ni consistency, je utaweza kutengeneza iyo $20 kila siku kwa izo siku 30? jitathimin sana brohโน๏ธ
@fumbokhanJr Nina swali ndugu, umesema nikiweka 20M napata 2.4M kwa mwaka, swali langu ni hili, huko unapoweka iyo 20M wanaifanyia nn ili iweze kukupa faida ya 2.4M
Au kuna biashara wanafanyia iyo pesa yako alaf wakipata faida wewe wanakupa 2.4M na wao wanabaki na faida iliobaki?
@Sirjeff_D Au hua mna place izo order na balance kubwa alaf then mkiona price imetembea ktk direction yenu, mna withdraw balance mnaacha kdg then mna screenshot au mnafanyaje๐ค
@Sirjeff_D Mnawezaje ku-place order kubwa kuliko balance alaf price ikaheshimu order zenu bila kukutoa sokoni?
Kwasab mara nyingi uki place order unakuta price inaanza kucheza na psychology yako kwanza kabla haijaenda ktk direction yako.
@senyashadrack@Sirjeff_D Hata mm hii hali hua inanikuta, kuna siku unakuta unafika sehemu kwa mara ya kwanza, lkn akili inakwambia kabisa hii sehemu sio ngeni unaifahamu.
@TMnyama4_ Hapo njia sahihi minaona afanye hivi, amchukue mtoto aende akampime DNA, akikuta ni mtoto wake amlee mwenyewe hata kama kwa kumpeleka kwa bibi yake, alafu aachane na uyo malaya, lkn akikuta mtoto sio wake, aachane na uyo malaya na amwachie mtoto wake atafute mwanamke mwingine tu.