@VodacomTanzania Nilienda mpk Kkoo branch ynu kuulizia wakaniambia mtu akaishachukua pesa nyie hamna uwezo kurudisha je inakuwaje wkt mtu hyo hyo kasajiliwa kwa alama za vidole hii imekaaje naomba majibu
@VodacomTanzania Kiukweli yle mtu alikuwa muungwana alisema hatachukua lkn nyie vodacom mnaweza kunirudishia nikiwasiliana na nyie!! Lkn ilichukua zaid ya 24 hrs tna cyo kwny mobile ni mpk mtafutwe mtandaoni!! Mwka jana kn mtu nilimtumia kwa bahati mbaya na hela mkashindwa kunirudishia!!
@Maliwa80534569@ExMayorUbungo Hyo aliyeibiwa mpk mil 30 alipoenda CRDB walimwambia hao walioiba pia wana acc hpo CRDB lkn wape diposit mil 2 tu!! Ss tu tafakari kuanzia hpo kweli kwanini wasiwa track!! Mm Na his wanashirikiana na wtu wa bank kbsaa!! Sbb kma hajui no yko y simbanking anawezaj kuchukua pesa
@specter_006 @JideJaydee Ww kma ni mkristo ukifanya hvyo hyo kutubu unaanza kwa hy hyo cyo madhabahuni kwanza lazma uanze Na uliyemkosea!! Jmn ufalme wa Mungu kuona ni ngumu kuupata kma roho ztu ziko hvyo!!
@JideJaydee Mungu ktk maandiko yke alisema mpende mwenzio km unavyojipenda mwenywe!! So hta kma kakukosea hutakiwi kumuombea mabaya maana kisasi analipa Mungu!! Kwa hyo sbbu na kila moja keshamkosea Mungu kwa namna tofaut hutakiwi kumhukumu mwenzio kwani na ww utahukumiwa kwa kadri unavyohu
@RealHauleGluck I vote for diamondplatnumz
#betawards2021#betawards@diamondplatnumz
πππππππππππππππππππππππππππ