#TwendeSawaNaNBC ni kampeni inayolenga kuwapa Elimu wafanyabiashara wanaochipukia nchi nzima na kuwasogezea account isiyo na gharama za uendeshaji pamoja na kuwapa elimu ya biashara wakiwa kwenye biashara zao.
Naomba retweet 1000
#TwendeSawaNaNBC#NBCWakala
Sasa wezee simu yangu inachukua dakika 30 kutoa 99% kwenda 100% ila inachukua dakika 4 kutaka 100%kwenda 89%.
Embu nifanyie mpango wa 1000rts chap hapo. #TECNOVimbaSeason#Skumandinga