*WANAMIPANGOMIJI TANZANIA MNAIZUNGUMZIAJE TAARIFA YA MTO MARA??*
Makala hii iwafikie wafuatao kwa hatua:-
1. Tanzania Institute of Town planners (TITP)
2. Ardhi University (ARU)
3. Institute of Rural Development Planning (IRDP)
4. Ardhi Institute (Morogoro& Tabora)
๐๐
@msangijeff Kumjudge Town planner Katika hili unakosea kwani yeye hatoi pesa yake kuendeleza miji.
Jambo kubwa hapo ni serikali kutoona umuhimu wa kada hiyo:
2. Budget (fungu)
1. ajira zinazotoka nyingi ni ualimu na nursing๐ hapo nani atapanga miji? watumishi hawatoshi Mh @JerrySilaa
Unamaliza zako chuo, finally unajiona umepata freedom yako.
Na hamna anayeweza kukulaumu kwasababu your whole life, tangu uzaliwe was just preparing you kumaliza chuo.
So by the time unaweka kalamu chini, unaingia zako mtaani thinking you are finally done.
Kwa bahati mbaya unaweza kujisahau kwamba karibia kila kitu inahitaji uwe na momentum ili uendelee ku move forward.
Momentum yako means inabidi uendelee kuwa open kujifunza new things, uwe open kujua weakness and strengths zako etc.
Planes take off with speed, but the momentum to start the engine and start moving forward, hizo ndo the small steps huwa zinasahaulika.
Speed is good, direction is better, but having momentum will take you far.
Taifa letu limebahatika kupata kadinali wa tatu mswahili tena tangu taifa letu lipate Uhuru 1961. Awali Taifa letu lilianza kwakumpata kadinali Kasisi Laurian Rugambwa kutoka Bukoba, akafuata Kadinali Kasisi Pengo kutoka Sumbawanga, Na sasa Familia ileile ya Wahaya imepata bahati
Kuna thread niliwahi kuandika kuhusu kazi za Transcription ambapo niliwaeleza jinsi unavyoweza kujipatia mpaka $60 kwa siku kama utatumia AI, kuharakisha ufanyaji wa kazi, hii itakua thread ambayo ita cover transcription kwa ujumla
Thread๐๐๐
Kuna faraja ambayo huwa tunapeana sana, lakini mchakato wake kiuhalisia hatuufikirii.
Utasikia.. "Wewe ni Dhahabu, ili ung'ae lazima upite kwenye moto"
Sasa ni lazima utambue namna dhahabu inavyopitia kwenye moto inakuwaje.
Twende pamoja sasa!