Epukeni kuitisha vyombo vya habari mnapowasaidia yatima na wahitaji wengine. vinginevyo hampati dhawabu yeyote. Tumeaswa na Mungu; Mkono wako wa kuume ukitoa mkono wa kushoto usijue."
Padre mmoja nchini Nigeria ameona isiwe shida, kama Waamini hawataki kwenda Kanisani kwa kisingizio cha kutingwa na majukumu, basi kaona awafuate huko huko kuwapaka majivu.
Hii ni nzuri🔥, lakini kwanini watu wawe na shughuli nyingi hivi hadi kusahau vipindi muhimu vya Kanisa?
Definition ya mafanikio ni pana sana. Lakini ukiniuliza mimi Ntakwambia kwamba mtu mwenye miaka 60+ ambaye hana ugonjwa wowote wa kudumu na hatumii dawa yeyote ya kila siku, amefanikiwa.
Even Dangote Gets Missed Calls From His Daughter 😂
A light moment between Dangote and his daughter, Hajiya Fatima — she greeted him, complained about four missed calls, and his calm reply? “I saw them.”
Hii ni funga kazi, Jimbo Katoliki la Moshi limepata Mashemasi 15, Kanisa liko na Furaha kubwa mnoo.
Upendo wa Mungu unaendelea kuonekana kwetu kwa namna hii🙏
Unpopular opinion ni kwamba, Dunia ina changamoto sana. Kuna watu wamejaribu mara nyingi na kushindwa. Sisi wote hatuna roho ya kujaribu tena na tena. Wengine hukata tamaa na tujifunze kuwaelewa.