Rose Ndauka is the realest! She knows Wakazi lyrics/songs… Always supporting.
And she is one of the best actresses in the game.
Muhimu kum-support on her musical quest. She is very passionate about it.
MAJIBU RAHISI YA ROSE NDAUKA
Habari, mashabiki na wapenzi wa @iamrosendauka
Ningependa kuwakaribisha kwenye tukio langu la kipekee litakalofanyika tarehe 27 mwezi huu pale Swiss Garden Kinondoni.
Ni usiku wa MAJIBU yote kunihusu baada ya kuwa kimya kwa muda kidogo kwenye kazi
Bado tunajiuliza tatizo kubwa linaweza kuwa nini…?kila siku watu kutekwa tekwa na kuuliwa kabisaaa
Eheee Mungu tunaomba uendelee kuwa mfariji kwa wote waliopoteza wapendwa wao au kupotea bila kujua walipopotelea….
Eheee Mungu ingilia kati.
kwenye Siasa lakini kwa yanayoendelea sitamani hata kusikia jirani yangu yupo huko kwa kuhofia tu tunaweza kumpoteza bila kujua chanzo ni nini..
Yanayoendelea yanatisha na kukatisha tamaa kabisaa tunaulizana ile Tanzania yetu ya Amani ipo wapi…?
na kukuvunja moyo……
Leo naomba nisemehe kitu ambacho sijui kama kinaweza kuleta madhara yoyote kwenye maisha yangu…
Mimi kama Rose huwa sina chama yaani sipo chama chochote,huwa ni mzalendo tu yaani napenda Nchi yangu…..Mimi kama kijana kuna muda huwa natamani sana kuingia
Eheeee Mungu bariki Tanzania,Bariki na wananchi wake
Kuna umri flani kuna matukio yanaweza kutokea na usiongee chochote au ukaona kawaida haswa yakiwa hayatoki kwenye familia yako,ila kuna umri flan ukifika ndio matukio yanaweza kukutisha na kukukatisha tamaa kabisa