The litmus test to show how well you’re doing or not doing financially is by using the church theory. Kama unajua penya unaishi kuna zaidi ya kanisa nne,at a radius of 1km sorrounding you,wewe jua niwewe ulikua unajengewa affordable housing kabla mabwenyenye wanyakue. You are the poors
Kama unajua kanisa huwa unaenda huwa mnaspeak in tongues,na kweli kwa kichwa yako unajiambia mungu anaskia iyo upuzi unaongea,na ata wewe hujui unasema nini,forget about ever driving a car worth more than 250 sausand. Itakua ngumu sana
Kama unajua ile kanisa huwa huwa mnaenda,mkimaliza kuimba huwa mnasema “123 jesus!” ,sasa wewe ujue ata uyuko block,wewe uko kwa mitaro,ile tunaita trenches. Hiyo kanisa yenu ningumu upate mtu ako na gari isipokua pastor. This is the headquarters of poverty.
Bwana religion is the opium of masses. The deeper holiness,the deeper the poverty
Shida ya single mothers sasa ni mkikosana anaenda na watoto yake. Hajali uliuza shamba ndio ulipe schoolfees private school,unawachangwa ukifanya ile kwa chemistry tuliita effervesence,yani unatoa bubbles namna atari sana bwana. Do not! Apana jaribu iyo kitu!