@BahatiKenya analialia Kama mtoto kwani siasa ndio maisha yako ukishindwa utashindwa roho safi na ukiwim bado ni sawa sio ati juu umegrow mathare ni lazima ushinde ?? @edwinsifuna @DianaMarua_
Kuna wasanii hapa Kenya wanatumia uchawi kuinuka kimziki na kuwashusha wasanii wengeni mfano ni @WillyPaulMusic alimtumia @missp na akamuwacha Yani Ile talent ya miss p willy Paul akajiongezea kiuchawi Kama hamu amini ako wapi miss p c amepotea