@francismtey Watakapo weka masattelite wakakuuzia internet au teknologia ya utabiri, majira, data centers na zana za kivita kutoka space ndo utawaelewa. Sasa hivi huwez waelewa. Hata kipindi wanarusha sattelite hawakueleweka ila sahiv ndio starlink, GPS, za jeshi.
@privaldinho Mfalme ni mkuu wa nchi. Amiri jeshi na mkuu wa serikali ni PM. Rais akiwa pia ndiye mkuu wa nchi zinahitajika taasisi imara kumcheck na kumbalance kama ilivyo US na nchi nyingine za Common wealth. Nchi zetu nyingi Rais ana vyeo vyote na hakuna wa kumchek na kumbalance.
@kaka_puti@Sativa255 Mapato yanaongezeka, watu wanaongezeka, watumishi wanaongezeka na mahitaji ya miundo mbinu kama elim na afya vinaongezeka. Nchi sip familia. Mishahara iloyokua inalipwa 2020 sio inayolipwa leo. Waza kwa upana
@onetheincredibl@TrullyTrut997@Sativa255 China, US zote zina mikopo mikubwa mnoo. Kwa east Africa sisi tuna mkopo kidogo per GDP ukilinganisha na wenzetu. The issue is matumizi!
@israelmoses_@Sativa255 Watajwe waone aibu na wachukuliwe hatua. Sikiliza clip yote usikate vipande, unaikumbuka 1.5T kipindi cha JPM iliyomuondoa madarakani CAG?. Huo ndio ufisadi mkubwa kuwahi kuhisiwa Tanzania, hamna skendo inayofikia hizo hela. Ila haukuwa na ubavu wa kusema by then