Hivi karibuni watu wameteseka sana na SHU na Komasava:
Mara PSG wakaPost
FIFA wakaPost
Victor Osimhen akaPost
Lingard hakuwa nyuma
Pogba na Familia
Chris Brown anakuja kukandamizia
Finya haters hao
Learning SQL is so hard.
This Handwritten note will make it easy to learn SQL.
𝐖𝐨𝐫𝐭𝐡 $29, 𝐛𝐮𝐭 𝐟𝐫𝐞𝐞 𝐭𝐨𝐝𝐚𝐲!
❯ The book contains all the keys to Database Management System.
To get it,
1. Like & Repost
2. Reply “DM”
3. Follow me (so i can DM)
𝐑𝐄𝐊𝐎𝐃𝐈 𝐙𝐈𝐏𝐎 𝐈𝐋𝐈 𝐙𝐈𝐕𝐔𝐍𝐉𝐖𝐄: Na leo @Wcbwasafi_ wamevunja rekodi yao tena baada ya kumruhusu D Voice kufanya mahojiano yake ya kwanza nje ya Wasafi kama ilivyokuwa kwa @officialzuchu mwaka 2020, #DVoice ameweka baraka zake kwenye #MorningTrumpet ya #UTV108 ndani ya #AzamTV
Hii ni mara ya pili baada ya Mtangazaji na Mwandaaji wa maudhui @abuuyusuftz kuvumbua jina #ZuchuDay mnamo mwaka 2020, wakati msanii Zuchu akitoka na kufanya ziara yake ya kwanza #AzamMedia, leo pia tumeibariki #DVoiceDay 🔥
#AzamTVBurudaniKwaWote @diamondplatnumz
Ep ya Diamond Platnumz #Foa imefikisha streams 100M kwenye app ya muziki Boomplay
First Of All inakuwa Extended Playlist ya kwanza East Afrika kufikisha streams 100M Boomplay, Hongera sana @DiamondPlatnumz#ChartsTanzania