@Sativa255 Hili kanisa ni mnyororo wa chuma, huyo askofu akiletewa waraka lazma atausoma kama ulivyo! Sidhani kama hiyo hela itabadirisha chochote ni kumpongeza tu na zawadi ya kuteuliwa Wala usiwe na wasi wasi
@Dominicksalamb1 Kwani hizo dakika anacheza Simba pekee Yan anachukuwa mpira Kwa mikono anapeleka golini ?????? Haya mambo yakishamba sana watu tunataka kuenjoy football hata wakiongeza 30 acha waongeze kwani mpira unaweza kuingia goli lolote
@azamtvtz Sitisheni msitusumbue. Unajiandikisha kitambulisho kinachukuwa miaka miwili si upuuzi, mnadhan namm nabaki hapo hapo mkoa huo huo kukisubiri ujinga sana