Mapema leo nchi yetu ilipoandika historia kwa uzinduzi wa Treni ya Kisasa ya Umeme (SGR) ambapo pia nimeitumia kusafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma.
Baada ya kukamilika kwa kazi hii njema, sasa tumeanza kazi ya vipande vipya vya Tabora kwenda Isaka, Isaka hadi Mwanza, pamoja na kile cha kutoka Tabora hadi Kigoma, na kisha kuunganisha na nchi majirani zetu ili kufungua milango zaidi ya fursa za kiuchumi kwa wananchi wetu.
WATCH: Burj Khalifa, the world's tallest building in Dubai, lit up in the colours of #Rwanda's flag on Monday as United Arab Emirates (UAE) joined the country to mark its 62nd independence anniversary.