Hii ni App nzuri sana kwa ajili ya kusikiliza Qur'an, na kuisoma.
Tafadhali wajulishe unaowajua kwa kuwa-tag. "Yeyote mwenye kumjulisha mtu jambo la kheri, basi atapata malipo sawa na yule mwenye kuifanya kheri hiyo".
🔗Link ya kuipakua hii App👇
https://t.co/GNhEqdeLUg