Political speaker (Public servant). Advocating for justice, Equality and Change🇰🇪 FACEBOOK; @ SAID TWAHA, TIKTOK; @ SAID TWAHA, INSTAGRAM; @ SAID TWAHA
SEASON 1; EPISODE 2: “THE GHOSTS OF COUNTY HALL”
{Theme: The phantom payroll}
Senator Cheragei pia ameongea haya mambo ya Ghost workers jana nimewapostia video asubuhi akisema Abdulswamad asekwe jela.
Ndugu zangu wa Mombasa,let me tell you about the ‘zombies’ of Mombasa County
Senator Cherargei asema akina Abdulswamad wafukuzwe ,wasionekane hata statehouse sababu wao ni wezi ,amewafananisha wao na Elchapo Guzman. (kama humjui,let google do the job for you)
Halafu mwamuona Faki ati askia vibaya vile Abdulswamad antajwa ati he was walking off the senat
Abdulswamad umewabadilikia watu wa Mombasa,fanya hima uthubu kwa mola wako,Mwenyezi Mungu ni tajiri wa msamaha,thubu kabla pumzi hazijakatika,manake uongozi ni dhwima,uongozi ni dhamana,kesho yaumulhisab utajibu,wewe dunda tu ukijisahau,ukicheka ovyoovyo kama zombie. Pesa za umma
Ndugu zangu wa Mombasa,wananchi wapendwa wa Mombasa, mwajua kwamba katiba ya Kenya article 53(1)(b) na 43(1)(f) yathibitisha kwamba watoto wetu wana haki ya kupata elimu ya msingi bila malipo na ya lazima.
Abdulswamad leo alikuwa anafaa alipie watoto 40,000 hii mombasa wasome b
Elimu ni nguvu kubwa inayosababisha maendeleo ya kijamii.Elimu ndio inaweza kusawazisha matabaka tofauti ya kiuchumi na kijamii kwa kutoa msingi wa pamoja kwa watu ili kupata ujuzi,ajira yenye maana,kukuza uchumi na kuleta maendeleo ktk https://t.co/AGVIwCrOvb is the greatest equ
*SEASON 1; EPISODE 1 : "THE GARBAGE CESS COLLECTION CARTEL"*
[Theme : Revenue Haemorrhage]
You're driving through Tudor, Mombasa,past the open sewers on Tom Mboya Avenue, holding your nose. But do you know that while you suffocate, your county government collected on paper
Meli haizami kwa sababu ya maji yaliyoizunguka,bali kwa maji yanayoingia ndani yake.Linda moyo wako.Usikubali changamoto au mahasidi wakavunja ari na malengo yako.Season 1;Episode 1 ni leo jioni in shaa Allah.Kila Ijumaa itakuwa twaachilia episode mpya in shaa Allah.Stay tuned.
Nimesema niwaonyeshe trailer of the movie series Mombasa Taxpayers Heist starring Abdulswamad. Stay tuned,siku ni kesho ijumaa jioni in shaa Allah roho zikiwa hai🤲🤲🤲
Watu wa Mwakirunge,hiyo nayo ilikuwa MWECHECHE😅. Watu wa Mwakirunge ni FAYA SI FAYA?😅 Ni NOMA si NOMA?😅
Wasojua kigiriama,translation hii hapa Matsere ni manji warima,mahindi ni mengi tumelima wenyewe hatutaki unga wako,hatutaki kukuona tena hapa😅
Mkono usoweza kuukata ubusu,lakini mkono ambao unajaribu kuharibu maisha ya familia zaidi ya 2000,mkono ambao unajaribu kuharibu ajira au kipato cha familia zaidi ya 2000 lazima tuukate. Hatuwezi kukaa kimya kuona wenzetu wanateseka au wanateswa na watu wawili watatu.
Nimerudi Mombasa,napitia masoko. Sikwenda soko la Sega manake limekuwa gofu,limekufa kabsaaaa. Abdulswamad bado yuapumua? Au tukanyage shingo? Abdulswamad alisema eti yuapata kodi ya Kes 720(shilingi mia saba na ishirini kama kodi sokoni). Wale watu wake wenyewe wadondoa 50 50
Please Teacher, May I go to the toilet? Eleza muktadha wa dondoo hili? (100 marks).
Halafu kuna watu waniita mimi tumbo😂😂😂lakini ajabu wao vimbao mbao tukienda baharini wao watazama mimi nitaolea 😂😂😂Vimbaombao wote wapelekwe ‘SELO’(PRISON CELL)
Niko Malindi,jana baada ya swalaa ya Ijumaa nnaalikwa kila mahali kula biriyani lakini nimekataa 😅Nawashkuru ndugu zangu wa Malindi kwa ukarimu wenu,daktari wangu atakuwa mkali. Mwaona nnapewa mpaka udi mskitini?😅
Baadhi ya kazi ya useneta ni Ugawaji na ufatiliaji wa mapato
Ukiwa na gongo na umuone nyoka yuapita na Faki na Abdulswamad basi watu wa Mombasa chukueni lile gongo mumuache yule nyoka apite na muwapige Faki na Abdulswamad kichwani. Hawa watu ndio wanadidimiza hii Mombasa.