@Awesially Ila jamaa muda sio mrefu anaweza lamba shavu kama unajaribu kutafuta maisha ukaona mipango haiendi kuna njia nyengine pia Kwaiyo jamaa anaweza toboa πππ½
@safarimlevi Zanzibar ni kwa ajili ya mzanzibar tuu hata mim wakt natfuta passport niliambiwa sio Mzanzibar wakt baba mama wote ni wanzanzibr na anae niambia hivo ni officer migration kutoka Baraπππππ½