@KennedyMmari Tena inaweza kuwa ni touristic point katikati ya jiji. Wageni wanaokuja city centre wanaweza kuitumia kama sehemu ya kwenda kutembea. Wanaweza kuweka boti ndogo zikawa zinabeba watu kuzunguka around the area with a fee. Zikawekwa taa along walkways watu wakaja kutembea usiku.
Nimesoma Tawasifu ya Mzee Rukhsa: Safari ya Maisha Yangu, hakika ni chachu kubwa katika kuandaa vijana kiuongozi. Kwa muktadha huo nitatoa vitabu 2, pendekeza unayedhani anaweza kuchambua kwa manufaa mapana ya wengi, zawadi itatolewa jumapili 16.05.2021 https://t.co/z2dANRh9NN
LITTLE WORDS ABOUT FEAR;
FEAR has two meanings;
ππΎ
FORGET everything and RUN
or...
FACE everything and RISE
Fear is the biggest FENCE,
ππΎ
Everything you want is on the other side of fear.
DON'T LET FEAR GRAB YOU.π
ββHave a Wonderful Dayββ