🌉 Leo nimepita kwenye Daraja la Kigongo–Busisi... 😍
Kweli Tanzania inapiga hatua! Daraja hili ni lenye viwango yani kama uko Ulaya kumbe ni hapa hapa Tanzania , Daraja la kisasa, mandhari ya kuvutia, na faraja kubwa kwa wasafiri. Hakika 👇
#kazinautu#Tunasongambele
@abusumayyah_o@godbless_lema@EduTalkTz Tatizo ujuaji mwingi hawa, baada ya kukaa kupanga mikakti yao ,sasa Ivi wanajiliza kwa kivuli cha kutetea nchi kumbe wanapigania matumbo Yao
@godbless_lema Wote ni wachumia tumbo tuu, ushahidi unaonekana kwa walio jiita pia chadema wapo kwa ajili ya wananchi,lakini si hivyo wote mnapigania nafasi kwa kivuli cha kutaka mbadiliko,mkipew nafasi mtajali matumbo yenu tuu
@sisiniTanzania Natamani bunge lijalo liwe na upinzani hasaa ili kuwapa tumbo joto wabunge wa ccm wapambane kutimiza ahadi zao katika majimbo yao#Bunge2025