#update 24 Tanzania, ambao imerejea kwa mara ya kwanza kwenye michuano hiyo baada ya miaka 39, imeshindwa kusonga mbele katika hatua ya mtoano baada kumaliza mkiani mwa kundi lao kwa kukubali kichapo kwenye mechi zote tatu walizocheza.
#update 24 Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) yanaendelea nchini Misri huku timu 24 zikiminyana kwa mara ya kwanza. Lakini nje ya uwanja, tunafikiri kuwa ni jambo la kufurahisha kuuliza: "Je wajua nani atashinda mataji mengine ukiacha la mpira linaloshindaniwa AFCON
#update 24 Manchester United na Paris St-Germain zimekubaliana malipo ya kumnunua mlinzi wa Ajax na Uholanzi Matthijs de Ligt, 19. (European football expert Julien Laurens, via Express)
#update 24WAKATI Serikali ya awamu ya Tano ikielekea kukamilisha miaka minne tangu iingie madarakani, mambo mengi makubwa yamefanyika na yanaonekana kitaifa na kimataifa.
#update 24 Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), Peter Maduki, amesema kwa sasa malighafi zitaweza kupatikana ndani na nje ya nchi kutokana na ubunifu mkubwa uliopo.
Kenya. KATIKA ukanda huu wa Afrika Mashariki, kuna idadi ndogo sana ya wasanii wakike wanaofanya muziki wa Hip hop kwa ukubwa unaostahili. Bado haijajulikana kwanini lakini waliopo wamefanikiwa kupenya na kujitengeneza mashabiki lukuki.#update 24
Dar es salaam.
Mtafiti kutoka Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), Filbert James, amebuni kitasa cha mlango wa nyumba kinachofunguliwa kwa simu ya mkononi ili kukomesha utumiaji funguo bandia.#update 24
Serikali imeanza utekelezaji wa kufufua kiwanda cha kutengeneza vipuli vya viwandani na magari cha Mashine tools kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro, ambacho kilisimamisha uzalishaji kwa zaidi ya mika 30.#update24
Rais Dk. John Magufuli, anatarajiwa kuzindua rasmi hifadhi mpya ya Taifa ya Burigi iliyoko Chato mkoani Geita, wiki ijayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamis Kigwangalla amesema hayo jijini Mwanza.#update24
Mali za Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), zinatarajiwa kupigwa mnada Julai 6, mwaka huu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni ya udalali ya Fosters Auctioneers & General Traders ya jijini Dar es Salaam,.#update24
Shirika la kuhudumia Viwanda Vidogo (Sido), limefanikiwa kuongeza idadi ya wawekezaji , ubunifu na ajira kupitia mfumo wa Kongano.
Akizungumza leo Julai 4, katika Maonyesho ya 43 ya Biashara ya Kimataifa Sabasaba (DITF-), .#update24
KUTOKUWAPO kwa idadi kubwa ya Mahakimu wa kushughulikia kesi za ujangili kunatajwa kuwa moja ya vikwazo katika mapambano dhidi ya ujangili nchini.
Hayo yamewekwa wazi na Hakimu Mkazi, Wilaya ya Bariadi, mkoani Simiyu, Mary Mrio .#update24
IKIWA imepita takribani miaka 39, nchi yetu kwa mara nyingine mwaka huu imefanikiwa kutinga michuano ya fainali za mataifa ya Afrika ijulikanayo kwa jina maarufu la (AFCON).#update 24
WAKATI Serikali ya awamu ya Tano ikielekea kukamilisha miaka minne tangu iingie madarakani, mambo mengi makubwa yamefanyika na yanaonekana kitaifa na kimataifa.#update 24
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa dini kuendelea kuimarisha malezi na mafundisho ya kiroho kwa vijana na kuepusha mmomonyoko wa maadili ili Taifa liendelee kung’ara, kuheshimika na kusifika.
Majaliwa alisema jana mjini Dodoma.#update 24
KITENDO cha mchekeshaji nyota Bongo, Emmanuel Mathias ‘Mc Pilipili’, kubadilisha kiapo cha ndoa aliyoifunga hivi karibuni jijini Dar es Salaam, kimepokewa kwa mitazamo tofauti kiasi cha kuwagawa watu ambao wanaosema amepatia na wengine wakisema amekosea.#update 24
MKAZI wa Kimara Korongwe Jumanne Kunambi (27) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, akikabiliwa na mashitaka ya kubaka na kulawiti mtoto wa miaka tisa.#update 24