Wakuu wa dunia wanaweza kukupa msaada wa chanjo na wasione aibu baadaye kusema uchunguzi unaonesha waliopata chanjo za msaada wameongeza kuenea kwa virusi duniani. Aibu na utu huwezi kuvipata kwa mzungu.
Tunahutubia baraza la UN au tunapewa nafasi ya kujieleza mbele ya viongozi wengine? Tunahutubia baraza la UN au tunapewa microphone maana wamesikia tumehudhuria pia. #MachingaTunaumia
Middle East: Passengers who were fully-vaccinated (Pfizer/Moderna/AZ/J&J) *IN* either Bahrain 🇧🇭 Qatar 🇶🇦 Kuwait 🇰🇼 Saudi Arabia 🇸🇦 will be “recognised” by England as fully-vaccinated travellers, and therefore have no quarantine ✅ effective Oct 4.