#Neno ...SIRI NI KUMTAFUTA BWANA!
2 Mambo Ya Nyakati 26:1-5 #Radio47Jumapili
Uzia alielekezwa vyema, akaishi maisha ya kumtafuta Mungu na akafanikiwa pakubwa. Elekezwa katika njia ya Mungu, mtafute kila wakati na utapata mafanikio makubwa!
Manung'uniko ni mabaya, ni kama kumwambia Mungu kwamba hawezi licha ya kukuvusha bahari shamu. Amini Mungu katika hii safari, wacha manung'uniko! Tukutane Galilaya! @EvahMwalili@Milele_Fm#MileleGospelSunday