๐๐ฆ๐๐ ๐๐๐ ๐ ๐ ๐ช๐๐ก๐๐จ๐ ๐....๐ถ
" Ukitaka kuishi ishi kama mwanaume. Acha woga, Pambana kwa unaloamini ni sahihi, ukiliacha jambo acha lifike mwisho kwa namna ambayo wewe unataka na sio mtu mwingine.
Hata kama nitakuja kukugharimu kwa namna wewe na Mungu wako ulivyoamua.
Jaribu kuwa mbinafsi wakati mwingine ni formula ya maisha kwa sehemu, ubongo wako si pango la kila mtu kuweka ideas zake.
"Nguvu ya jeuri ni UJEURI wake na daima hajutii matokeo hata kama yatakuja na maumivu. Ni Vyema kuwa mpole ila sio upole uliofungwa ndani ya HOFU, UJINGA NA WOGA.
"Unapokuwa Katika kilele cha furaha tambua kipimo hicho hicho kinaweza kuja katika uchungu, jiandae kwa kila hali ili kuepuka majuto na maumivu"
"Mpe mwanamke furaha ni sehemu ya uumbaji wake;
Mwanaume mpe kila ambacho amejiandaa nacho, kilichopo na kinachopatika wakati huo, usijutie kumtimizia mahitaji yako ila juta sana ukishindwa kumtimizia haja za mwanamke mwenye hekima ,busara MREMBO na anayekupenda.
Nguvu ya ulimi wako mbele ya jamii ni UMEME wako kichwani.
๐๐จ๐ช๐ ๐ ๐ฉ๐จ๐ ๐๐๐๐ฉ๐จ...โ๏ธ
๐๐จ๐ช๐ ๐ ๐ฉ๐จ๐ ๐๐๐๐ฉ๐จ...๐
Mambo mazuri huchukua muda.
Usijiunge na kizazi cha microwave.
Jenga ndoto yako tofali kwa tofali. Zingatia mchakato, badala ya kupoteza usingizi kwa sababu ya matokeo.
Unapoona marafiki zako wakiishi maisha ya kifahari , usikose usingizi. Huwezi kuwa tajiri mara moja. Utajiri hufafanuliwa kama thamani ya muda wako duniani.
Kumbuka, sisi sote huchanua katika misimu tofauti. Usijaribu kuishi maisha ya watu wengine. Usinunue gari kwa sababu jirani yako ana gari.
Usifanye kitu kuwafurahisha raia. Unajidanganya huku unaishi maisha ya watu wengine.
๐๐ถ๐ฎ๐บ๐ถ๐ป๐ถ.
Ishi maisha ya uaminifu.
Usitafute njia za mkato na njia za haraka.
Kuwa mkweli kwako mwenyewe.
Ikiwa unaishi maisha ya uaminifu, asili itakurewards.
Wakati wako unakuja. Usikate tamaa. Zingatia maono yako. Vuta subira tu. Itachukua muda lakini itafaa.Kuwa mtu mwaminifu.
MAHUSIANO: Kwa hivi karibuni, Mahusiano mengi ni Low Battery (hayana utulivu) wengi wanatembea na Power Bank (Michepuko), charge ikikata tu wadau wanaendelea na Power Bank, BreakUp za sasa hazina machozi mengi kama zamani watu wanajipanga mapema.