Usaliti unaombatana na uongo katika mambo yanayohusu uhai na maisha ya watu ni uuaji.
Nyamatari (William) Tengecha hajawahi kuwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama @ChademaTZ2 aliteuliwa kama Mtaalam wa Hamasa.
Amerusha uchafu wa uongo ambayo ni vyema ukapuuzwa na wapenda ukweli na haki. Nasikitika tu kwamba tulimwamini mtu ambaye bila aibu amesaliti mapambano ya haki. Ni msaliti mwingine anayeingia katika orodha ya kina Yuda Iskarioti. Tusonge mbele; haki, ukweli na uadilifu vitashinda dhulma, udhalimu na uongo.
Mkapa alinikamata mara moja. Kikwete alinikamata mara tatu. Magufuli alinikamata mara nane. Hii itakuwa mara ya pili kwa Samia kunikamata. Mara zote hizi sijawahi kutiwa hatiani & mahakama yoyote. Sijawahi kutenda kosa la jinai. Mimi ni mpigania Uhuru & Haki. Huo sio uhalifu!
Kuna watu wameshindwa siasa, wanaamua kuteka na kuua wanasiasa wa upinzani.
Kuna watu wameshindwa siasa, wanategemea tume yao na vyombo vya ulinzi na usalama kushinda uchaguzi.
Kuna watu wameshindwa siasa, wanabambikia kesi viongozi wa upinzani.
Nawasilisha!
JANA MAHAKAMA KUU iliwaachia huru MASHEIKH 12, waliokaa gerezani miaka 10, kwa tuhuma ya Ugaidi.
Usalama wamewakamata, wamewarudishia shtaka na wametupwa tena gerezani.
Rais Samia alipata kusema, atakuwa MTAWALA wa HAKI.
Tunatumia fursa ya tukio hili kumkumbusha AHADI yake.
Msimuue huyu dogo mtakiwa mmefanya dhambi mbaya sana kumuua yatima anaepigania Haki kwenye nchi yake, bado ni kijana mdogo asiye na madhara wala mipango miovu kwa nchi yake... Mwachieni huru, Mungu ni mkali sana.
Hakuna ukweli mchungu hapo, ni kwa vile bado mnaishi kwenye denial. Mmepagawa na madaraka ya dola.
CDM haina ushawishi na bado mnazunguka nchi nzima kubandika mabango ya HANGAYA kama mpotevu?
CHADEMA haina umoja na bado mnateka hadi vijana wake na viomgozi wake na kuwapoteza kabisa? Shame.
Tangu lini MaCCM yakataka CDM imara? Mngetaka CDM imara, mngeruhusu mkashindana kwenye boksi.
Mnataka CHADEMA imara kwa ajili ya kuchunga serikali wakati wakigombea MaCCM mnaengua wagombea wao?
MaCCM mnapora hadi chaguzi za vijiji, mnapata uhalali wa kupanua mdomo kwamba mnataka CDM imara?
Majeraha ya ndani ndiyo yanafanya MaCCM mnapora hadi chaguzi za mitaa, vijiji na vitongoji? Majambazi.
Tuseme CDM yenye ushawishi ni ya Mzee Lowassa, mbona bado uliogopa kuifuata ukabaki mbogamboga?
Tunaelewa, CCM hamuwezi kukubali uwepo uchaguzi huru na haki, sehemu kubwa hamkubaliki na umma.
Hamtaki tume huru, hamtaki katiba mpya. Mnataka uchaguzi wa kipumbavu mchaguane kipumbavu tu.