Sio Askari, wala hana Mafunzo rasmi ya Uokoaji. Ila amesukumwa na Moyo wa kusaidia na kuokoa maisha ya watu Kariakoo. Respect sana kwake na wale wote waliojitoa kuokoa maisha ya Watanzania wenzetu.
Ninatoa pole kwa Mchungaji Boniface Mwamposa kwa kifo cha Msaidizi wako Mkuu, Jonathan Togolai. Nifikishie pia salamu zangu za pole kwa waumini wa Kanisa la Inuka Uangaze, familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa kuondokewa na ndugu yetu huyu.
Nawaombea utulivu, tafakari na shukrani kwa Mwenyezi Mungu katika kila jambo, kama tunavyosoma katika Biblia Takatifu, Kitabu cha Ayubu 1:21.
Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema.
Amina.
📍Arusha
🧕🏽Madam President Hon. Samia Suluhu Hassan.
🗣️"Not all storms come to disrupt your life, others come to clear your path".
SHE IS THE REAL DEAL
#️⃣Samiaverified✅
#️⃣Sheistherealdeal
#️⃣Kaziiendelee
PASAKA,
SIRI ILIYOFICHIKA KWENYE MATESO YA KRISTO YESU YA MSALABA AMBAYO shetani HATAKI UIJUE!
NI IRINGA KATIKA UKUMBI WA IRINGA RETCO CALVARY.
IJUMAA Na JUMAMOSI SAA TISA ALASIRI
JUMAPILI SAA TATU ASUBUHI.
KUMBUKA:
ISAYA.53:2-11
KRISTO ALITESEKA ILI WEWE USITESEKE..
NabiiShayo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha wageni mashuhuri mara baada ya kuweka shada la maua kwenye mnara wa kumbukumbu ya Makaburi ya Mashujaa ya Kalibata wakati wa ziara yake ya Kitaifa Jakarta nchini Indonesia 25 Januari, 2024.
Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wafanyabiashara pamoja na Wawekezaji wa Tanzania na Indonesia katika Mkutano wa Jukwaa la Biashara na Uwekezaji. Mkutano huo ulifanyika Jijini Jakarta katika muendelezo wa ziara yake ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 25 Januari, 2024.
.
*Zaburi.65 :9-13.*
*UNGANA NASI KESHO SAA TATU ASUBUHI KWENYE KUHITIMISHA MAOMBI YA KANISA YA HAJA ZA MTU BINAFSI.*
*_KISHA TUTAANZA RASMI KULIOMBEA TAIFA LETU TANZANIA KWA WIKI NZIMA NA VILEVILE ISRAEL.*
*NI CALVARY - IRINGA RETCO KWA NABII SHAYO.*