kama wewe hujawaichochwa venye surveys ni lucrative venture ukanunua proxy na 7$ ulkuwa nayo mbele nyuma,wewe bado ujasota gathee,i quit first day,i got screened out in almost all surveys
Kama gift ,naye cuzo yangu akununuliwa kitu ,beef ikaanzia hapo ,gift yangu nilikua naekelea kwa dirisha siku Moja nikapata aiko,kuuliza ajui,nikanyamaza ,siku Moja nikaeda kwetu shagz kurudi nikasikia fununu alinigongea na mtu wangu hio kitu iliniuma sana,nikakumbuka nimeishi nikikataa boyfriend wake,nikasema bass