Mbunge wa Musoma Vijijini Prof Sospeter Muhongo ameamza kuchafuliwa baada ya kugundua kuwepo kwa miradi hewa na matumizi mabaya ya fedha za Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC). Mbunge huyo anaungana na Madiwani wengi wanaotaka Tume ya Uchunguzi iundwe - Michuzitv