Ni ngumu kumsahau mtu alie mwenye sababu nyingi za kukumbukwa!, umetufanyia mengi yenye kuonekana na watanzania wote. Hakika Daima tutakukumbuka Hayati Dk. #JOHN#POMBE#MAGUFULI
pumnzika kwa amani 🙏🙏 #sbtech#sbcompany#love#BurianiMagufuli
Hakika wanawake wana uwezo mzuri kiutendaji toka enzi za mababu zetu👊👊 Kutana na stori ya mwana sayansi wa kike aitwaye ADA LOVELACE, katika wazo anzilishi la ugunduzi wa ndege. Je unadhani bila hili wazo lake ndege zingekuwepo kweli!??🤔🤔 #sbtech#sbcompany#love#WCW
je ushawahi kufikiria kumiliki website au Application yako ya simu, katika shughuli yako🤷♂️🤷♂️?? basi kama jibu ni ndio, SB Technology Company tupo kwa ajili yako..👨💻👩💻 Karibu tukuhudumie ewe mteja wetu #sbtech#sbcompany#love#trust#technology#coding#sales#marketing