@earadiofm Hilo swali ni la kumpelekea mkuu aone ni aibu kiasi gani mapori kila kona, mikopo ya kuzidi, vijana mafundi selemara wengi hawana cha kufanya alafu tunasubiri dawati za misaada, this country.... no way out acha waisome namba... mbele kwa mbele
@eastafricatv imani mbovu kabisa kuhusu shule mtu akifeli shule anaonekana hana akili, mpaka leo kuna wazazi wanaamini shule ni kila kitu wapo tayari kuwasema watoto wao vibaya kisa tu kashindwa shuleni, mpe nafasi ajaribu kufanya kitu kingine anachokiweza, tofautisha akili na kumbukumbu
@HabariDigital_ "Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa" sio maneno yangu ila ishaandikwa hapo zamani na kukosa maarifa kwenyewe ni huku kutokuelewa kipi ni sahihi kufanya na kipi ata iwe vipi siwezi kufanya, anajua kabisa wengi wataenda kisa kula na kunywa
@eastafricatv Kwani pesa za mikopo huwa zinaenda wapi? mpka shule zinakosa madawati wakati tunaweza kusema tukakate miti pori tuje tulipe mafundi watengeneze, kila kona kuna mapori ya miti minene lakini tunakosa adi madawati, ukisikia wajinga wa kwanza ni sisi
@Mwabuk2Boniface Tatizo lilianza pale mtu anakuwa kiongozi ata katiba haijui, na akipewa sizani kama ataisoma na kuelewa, mfano leo tumchukue diwani yoyote tumuulize kuhusu chochote kwenye katiba kama anajua kitu jibu ni HAMNA. Katiba ipo toka 1977 lakini mpka leo ata robo ya watanzania hatuijui
@TBConlineTZ waache tamaa na ubinafsi usio na maana, ata kama huna akili em fikiria kuna ulazima gani wa kwenda kukopa ili hali unaweza kutafuta pesa zako mwenyewe, kama sio tamaa?, pia watu tuache maamuzi ya hisia tufanye maamuzi ya akili, ukiambiwa jambo fikiria amua sio unakurupuka
MTU hajawahi kusoma rich dady and poor daddy, 48 law of power, tajiri wa baberi, thick big, psychology of money, anakurupuka kutaka kusoma huu wehu, stay true acheni mihemuko na mikumbo, what next baada ya kusoma unapata nini?