📍Kituo cha Selcom Ubungo sasa kipo wazi!
Tunapatikana East Africa Commercial & Logistic Center, ghorofa ya chini, duka A5-32.
Tupo wazi kila siku, saa 3:00 asubuhi–12:00 jioni.
Wakazi wa Kanda ya Ziwa, Tumewafikia🔥
Tunafuraha kukukaribisha Selcom Experience Centre mpya Mwanza, Dar Lux karibu na passion hotel
Tunafungua Jumatatu – Jumamosi, Saa 3 asubuhi mpaka Saa 12 jioni
Karibu Mwanza ujipatie huduma bora za haraka na zinazokidhi mahitaji yako.
Tunduma tumeingia!🔥
Huduma zote za Selcom sasa zinapatikana Sikanyika, karibu na Tunduma Hotel.
Tupo wazi Jumatatu - Jumamosi,saa 2 asubuhi hadi Saa 2 usiku
Tourists, locals, and everyone in between, pay your way!
Say hello to Pay by Link! 🙌🏽 Selcom has partnered with Visa make it easy for Tanzanian businesses to get paid digitally.
Share a link or a QR code no card, no POS, just instant payments!
#SelcomInatosha
Tanga Kunani!🔥
Tupo rasmi Tanga, Barabara ya 16 karibu na Nacharo.
Pata huduma zote za Selcom: kuongeza salio, float ya haraka, usajili wa mawakala, POS, Mastercard na zaidi.
Tunafungua Mon–Sat, 8am–8pm.
Karibu Tanga!
#SelcomInatosha
Kamwene Iringa! Tumewafikia🔥🔥
Tunafuraha kukukaribisha Selcom Experience Center mpya Iringa Mjini, Uhindini Road karibu na Maranatha Pharmacy.
Huduma zetu zote zinapatikana hapa
Mawakala wanapata float kwa haraka na urahisi.
Wateja wa Selcom Pesa wanaongeza salio papo hapo.
Pata Selcom Pesa Mastercard, mashine za uwakala na biashara (POS), karatasi za risiti za POS na huduma nyinginezo.
Usajili wa mawakala unafanyika papo hapo.
Tunafungua Jumatatu – Jumamosi, Saa 2 asubuhi mpaka Saa 2 usiku.
Karibu Iringa mjini ujipatie huduma bora za haraka na zinazokidhi mahitaji yako.
#SelcomPesa
🚨 ZANZIBAR tupo🔥
Selcom Experience Center mpya sasa ipo Mpendae Mall!
👉 Ongeza salio papo hapo
👉 Pata Selcom Mastercard & POS
👉 Mawakala: float fasta, usajili papo hapo
⏰ Mon–Sat | 8am–8pm
Karibu ujipatie huduma bora na za haraka kutoka Selcom!
#SelcomInatosha
Miamala ya kutoka @SelcomTanzania kuja SportPesa makato labda uje nayo wewe🤩🤩
Hamisha pesa BURE kupitia Selcom ufurahie mikeka yenye odds za kibabe na Casino iliyojaa maokoto🔥🔥
Piga *150*87# au tumia App na https://t.co/FOkjomibMX
#sportpesa#sportpesaushindiuendelee
Watu wetu wa Nguvu Arusha, Tumewafikia! 🔥
Selcom Experience Center iko Makao Mapya – Soka Road
- Huduma karibu yako
- Mawakala kupata float kirahisi
- Akaunti & Bando la Miamala papo hapo
- POS, Mastercard, rollers, usajili.
⏰ Mon-Sat: 8am–8pm | Sun: 8am–5pm
#SelcomInatosha
@Chifu_CnK_Jr@Chifu_CnK_Jr Kwa sasa, mashine zetu za POS kutoka Selcom zinapatikana kwa gharama ya TZS 600,000. Kati ya kiasi hicho, TZS 100,000 kitarudishwa kwako kama sehemu ya floti.
Ili kupata mashine hii, utatakiwa kuwa na NIDA, TIN, pamoja na leseni halali ya biashara.
Tukutane Saba Saba🔥🥳
Selcom tunakupeleka mbele zaidi tutakuwepo kwenye Maonesho ya Saba Saba mwaka huu!
Kuwa wa Wakala wetu njoo ujisajili papo hapo, upate float kwa haraka, POS machine, rollers na vifaa vingine muhimu.
#SelcomInatosha
@Almalik_Mokiiwa@ngowi_mr@Almalik_Mokiiwa Ni rahisi kujisajili kwa kujaza namba yako ya NIDA na kufuata maelekezo. Kuhusu usalama, tumejizatiti kwa teknolojia ya kisasa kuhakikisha taarifa zako na miamala yako inalindwa kwa kiwango cha juu kabisa.
Pakua sasa: https://t.co/TcHqyyjijr
@Sallamasally_ Habari @Sallamasally, Tunaomba kukufahamisha kuwa hatujazuia DM, pia unaweza kuwasiliana nasi moja kwa moja kupitia simu zetu 0800 714 888 au 0800 784 888. Vilevile, unaweza kututumia ujumbe kupitia WhatsApp namba 0699077988 kwa msaada zaidi. Tupo tayari kukuhudumia!