kwa wanafunzi waliohudhuria masomo kwa kiwango kikubwa—ikiendeleza elimu bora, afya njema, na ustawi wa jumla.
@singidars
@ikungi_dc
@social_action_trust_fund
Kwa ushirikiano na SATF, SEMA imesaidia watoto walio katika mazingira magumu katika Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi, mkoa wa Singida kwa kuwapatia vifaa vya shule, taulo za kike, taa za sola, na bima ya afya, pamoja na zawadi za motisha
tumeendesha kikao cha Kujenga uelewa kuhusu hedhi salama (MHM) na kugawa taulo za kike katika Shule ya Sekondari Mitundu. Tunalenga kujenga mazingira salama na jumuishi kwa ajili ya wasichana kung’ara shuleni na maishani.
#GENTUproject@acftanzania
Afya ya hedhi ni haki, siyo anasa!
Kupitia mradi wa GENTU na kama sehemu ya utekelezaji wa afua za WASH, SEMA kwa kushirikiana na Action Against Hunger na Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, kwa ufadhili kutoka Global Affairs Canada,
Today, we visited Bahi Secondary School under the #GENTUProject to distribute sanitary pads and engage students in important conversations on menstrual health.
Every girl has the right to manage her period with dignity in school.
@acfcanada@acfhearo@CanadaDev@SemaSingida
Together, we have achieved remarkable milestones—and with your continued partnership, we look forward to many more years of positive change!
#SEMAat27
"Supporting community initiative to tackle social,economic and environmental issues"
@SATF1998@acfhearo
@singidars
Celebrating 27 Years of Impact!
SEMA proudly marks 27 years of dedicated service, transforming lives and communities. We extend our heartfelt gratitude to our stakeholders, donors, government partners, and the entire community for your unwavering support.
na kutoa fursa kwa wakina mama kuweza kujipatia mitungi hio kwa gharama nafuu.
SEMA inaendelea kushirikiana na wadau wote kuhakikisha wanawake na wasichana wanapata fursa sawa kwa maendeleo endelevu!
#sikuyawanawakeduniani2025
@singidars
@acftanzania
Shirika la SEMA limeungana na wadau mbalimbali pamoja na Serikali ya Mkoa wa Singida kushiriki Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2025, yakiwa na kaulimbiu "Wanawake na Wasichana 2025: Tuimarishe Haki, Usawa na Uwekezaji."
Katika maadhimisho hayo, Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. Halima Dendego, amezindua kampeni ya Nishati Safi kwa Mkoa wa Singida na kugawa mitungi ya gesi kwa baadhi ya wanawake walioshiriki, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha maisha yao na kulinda mazingira
"Thanks to SATF's generous support, SEMA is helping the most vulnerable children in Ikungi DC with essential scholastic materials, empowering their educational journey."
@SATF1998
Field visit success in Bahi! ACF Canada Board member and Program Director joined us for a day of inspiration. We toured Ilindi village's health facility, potato seed bank, and saw progress in animal husbandry. The local school impressed with its garden and youth club presentation